HAKIKA NCHI IPO MIKONO SALAMA
Nimechukua zaidi ya Masaa 14 kutafakari hotuba ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan hakika kunakitu kikubwa kwa Watanzania katika kufikia Maendeleo ya watu.
Piga Kazi mama tupo nyuma yako jana, leo na Kesho. Kuwa upinzani hakumaanishi kubisha kila kitu
"Maelezo ya @jjmnyika ni Msimamo wake binafsi sio Msimamo wa @ChademaTz tunatambua matatizo yake ya akili aliyopata siku za nyuma wakati akiwa Mbunge Jimbo la Kibamba. Jana tumemsihi Sana asifanye hiyo press maana anachoshtakiwa nacho @freemanmbowetz bado hatujakijua vizuri"
"Hakuna alichodanganya Mhe. Rais bali itakuwa ulitaka kuyasikia tunayotaka kusikia lakini yote aliyosema yana uwalisia mkubwa Sana katika siasa zetu. Tupunguze vurugu na maandamano yasiyokuwa na tija katika afya ya Nchi yetu"
Mnamzeesha na kesi zenu za kujitakia. Jitu linatukana mitandaoni kisa kibatala yupo Sasa chama kinaenda kufanya mabadiriko makubwa katika kuachana na kesi za kijinga
Kumbe mnajua hata kesi haijasikilizwa lakini mnashinikiza Mahakama imuachie huru. @IAMartin_ ACHA ujinga wa kujitakia tusitumike kisiasa kwa maslahi ya Mtu binafsi hakuna asiyejua umafia wa Mbowe. Tukaeni kimya tusubiri Mahakama. maana SSH hakutaka kulizungumzia kwa undani
Hata kesi yenyewe haijaanza kusikilizwa mahakamani, bado ipo kwenye hatua ya kutajwa, hata 'committal proceedings' bado, lakini 'mama yenu' kwa bashasha tele anasema wanatumikia kifungo chao na Freeman upelelezi wake umekamilika.. Ametia fora sana. Anajikoshaaa! Anajikoshaaa!
Ujinga huu ndio umefanya tupoteze majimbo yote na tukapata Jimbo MOJA la Nkasi kwa sababu ya ujinga wetu wenyewe..!! Mbeya Mjini ulikusanya wahuni ukajua wapiga kura wako. Jipange tusirudi na siasa zile zilizotufikisha hapa
Boniface usiwe kubwa jinga..!! Hukuwepo katika Mkutano wetu wa ndani tulipanga Mbowe aende Mwanza kuitisha maandamano ili Hali alikuwa na wito tayari wa Polisi mkononi. Swala ni Gaidi au sio tuachie Mahakama ifanye Kazi yake ila @freemanmbowetz ameumiza na kutesa wengi sana
Boniface usiwe kubwa jinga..!! Hukuwepo katika Mkutano wetu wa ndani tulipanga Mbowe aende Mwanza kuitisha maandamano ili Hali alikuwa na wito tayari wa Polisi mkononi. Swala ni Gaidi au sio tuachie Mahakama ifanye Kazi yake ila @freemanmbowetz ameumiza na kutesa wengi sana
1/2 Nimesikiliza mahojiano kati ya BBC na Rais @SuluhuSamia, Rais anasema "Kuna Wakati @freemanmbowetz alikimbia Nchi,amerudi hivi Karibuni kuitisha Maandamano ya Katiba akakimatwa aseme ni Sababu ya Katiba "
Sitaki Kumuita Mheshimiwa Rais Muongo, Ila Watu wake Wanamdanganya Sana
" Nitumie nafasi hii kuwashauri wanachama wenzangu wa CHADEMA tujitahidi kujenga chama Chetu kwa kuanzia ngazi za Chini na si kutumia muda mwingi kufanya siasa za kipuuzi na kijinga za kutukana viongozi maana Watanzania wanaona" -John Heche Mjumbe kamati kuu
#UstaarabuKituMuhimu
Taarifa
wanachama na wapenzi wa @ChademaTz ratiba ya kesho ni kesi ya @freemanmbowetz Mahakama ya kisutu aliyopewa ya UGAIDI hivyo basi kikao cha ndani kilichomalizika usiku huu tumekubaliana kwa kauli moja kesho hakutakuwa na maandamano wala mikusanyiko katika Mahakama ya kisutu
"Kupata ubunge viti Maalum CHADEMA lazima ujitoe Sana. Ndio kwanza mpo Katika mafunzo msiwaone wenzenu kina Halima Mdee na wenzake wamepitia magumu mno CHADEMA walipambana Sana" - John Heche
"Wakati nipo kimasomo Nchini India nikichukua Degree yangu ya pili nilisomeshwa kwa Fedha za @freemanmbowetz na baada ya kumaliza masomo akanipa cheo cha kuwa Mwenyekiti wa Vijana CHADEMA. Si mtu mbaya ila ana makandokando yake namna ya kuendesha siasa" - John Heche
@ChademaTz
"Namjua @freemanmbowetz kuliko mnavyomjua nadhani hata familia yake inaweza ikawa haimjui Kama navyomjua mimi. Naomba familia mtulie msiwe wasemaji katika kila Jambo ikibainika ni kweli Gaidi" - John Heche
@jjmnyika@MsigwaPeter @GodblessLema13 @MariaSTsehai@fatma_karume
"Hatuwezi kuwa wasemaji katika kila Jambo makamanda wenzangu swala la Ugaidi ni swala zito. Mtambue kwamba kwa Sasa hizi ni tuhuma. Ni muhimu tukae kimya na kufanya tathimini Jadidi katika hili tusije tukashindwa kuficha sura zetu maana Watanzania wanaona" -John Heche
@ChademaTz
" Tunatambua Kama Chama @ChademaTz tumeumia Sana kushikiriwa kwa kiongozi wetu lakini tusiwe sehemu ya kuhukumu kabla ya Mahakama. Inawezekana Kuna vitendo na Mipango ambayo mwenzetu @freemanmbowetz alikuwa akiviratibu bila sisi kujua Kama Chama. Utulivu muhimu Sana" -John Heche
" Siku zote nawashauri wanachama wa CHADEMA tufanye siasa Safi za kujenga chama Chetu. Mimi Kama Mjumbe wa kamati kuu @ChademaTz naomba kutumia nafasi hii kumsihi @HildaNewton21 kwa maneno yake zidi ya kumkashifu Mhe Rais wetu mama Samia Suluhu Hassan pasipo na ushahidi" - Heche
@humanrightstz KWA mara nyingine taasisi ya @humanrightstz wameingia mtegoni kwa kutoa taarifa za uongo katika kurasa zao. Hakuna sehemu Mkuu wa wilaya amekataza watu wasijieleze..!! Mjitahidi kujilizisha na taarifa ndio mzitoe kwa umma. Sisi CHADEMA tuna mbinu nyingi ya kufikisha ajenda