#BongoFlava ni zaidi ya muziki, ni utamaduni wa Kitanzania! Imechanganya hip hop ya Kimarekani na mitindo ya jadi kama taarab na dansi tangu miaka ya 1990. Neno "Bongo" linatokana na Kiswahili, likimaanisha akili, kutoka Ubungo, Dar es Salaam. 🧠🇹🇿
#MapamchBmb amekuja na ngoma yake mpya inayokwemda kwa jila la WAKATI. Ngoma fulani Kali sana, #Mapanch ni miongoni mwa wasanii wakali ila wengi hawajampa sioko. Kama kawaida yetu tukampe support pale YouTube: https://t.co/ZOtfY8VmUu tumpe numbers kijana wetu
#BongoFlava#enjoy
@ibraah_tz anakwambia COPY & PASTE. Hii ngoma inakitu tofauti sana na tulivomzoea na hii inaonesha kwamba dogo ni kilaka anafit kwenye kila aina ya music, kama ilivokawaida yetu, tupite pale YouTube: https://t.co/yMR9NBXBYz
Enjoy #BongoFlava
Ni Combo ile ya chaka to Chaka!!
#BestNaso akiwa na kijana adimu @macvoice_tz ngoma inaitwa #Twapendezana
Watu mlimmiss sana #Macvoice basi pita YouTube: https://t.co/LYYRDZnvYs
Ukajione hii combo yao humu ilimaliza mjadala wakuu
Support good music
#BongoFlava
#DipperRato akiwa sehem salama kabisa na @deejaydavizo, wanakwambia call 911 maanake piga simu police wewe.
Ngoma iko YouTube: https://t.co/LRoaMZhJnI
Utamaduni wetu ni kutoa support basi tukaongeze nguvu pale YouTube.
Enjoy good music
#BongoFlava
Anaitwa #Centano anakuja na kibao kinaitwa #UTAWEZA ikiwa ina masaa machache sana YouTube na lengo leo likiwa ni lile lile basi tupite pale mjini
YT: https://t.co/rbhseC13DD
Tukampe support kijana new comer ila ana spirit kubwa na atafika mbali.
Enjoy good music
#BongoFlava
#Appy akiwa na champion #Kontawa mkwajua unaenda kwa jina la MDOGO MDOGO ikiwa ina masaa machache sana tangu imeachiwa. Kama kawaida yetu tuipe support hii ngoma isogee mbele.
Tupite YT pale : https://t.co/fC7BmYBqba
Tukaongeze namba kidogo kwa #Appy#BongoFlava
Video ya #Dvoice inayoenda kwa jina la MBWA tayari imeshapanda mjini youtube
Tokaitazame halafu tuone je yaliyomo yamo???? Dogo anafanya vizuri sio kwenye singeli tu hata kwenye bongoflava ni wa moto balaa🔥🔥🔥
Enjoy good music #BongoFlava
YT: https://t.co/FLmDfVugOK
Mtaani kumechangamka
Unaambiwa huko nigeria kila kona, kila baa kila kiwanja zinapigwa ngoma za #Jux tu 😂😂
#GodDesign imeendelea kufanya vizuri kwenye itunes za nigeria na sasa hivi inashika namba mbili 🔥
🇳🇬🇹🇿💪🏾
#Newbanger in town
Wimbo mpya wa #jaymelody uitwao #mtoto umeachiwa rasmi kwenye patform zote za mziki.
Ni ngoma ya #BongoFlava uanohusu maisha. Kiukweli kazi ni nzuri sana
#enjoymusic
https://t.co/0NX5ayqaVS
New piano.
#kontawa ameachia ngoma mpya iitwayo #Bongo. Ni wimbo wa #BongoFlava wenye asili ya amapiano.
Wimbo upo kwenye platform zote za muziki
https://t.co/n0WcnPhDkF
#Mabantu wametoa video ya ngoma yao mpya inaenda kama TOTO LA KIGAMBONI. Ngoma kali sana, twendeni YouTube: https://t.co/QTYUp8Ix6u tukaongeze numbers kidogo.
Enjoy good music #BongoFlava
Ngoma mpya sokoni
Kutoka kwa GeniusJinix66 . Jini kaachia ngoma mbili, #napendwa na #uwii. Ni ngoma za mapenzi
#Enjoymusic#BongoFlava
https://t.co/XOJQiAgVOb