"Magavana wamebuni njia tofauti tofauti za kucompromise County Assemblies."- Kevin Osido, OGW, Mkurugenzi, County Governance Watch
#TV47SaaTano@Kilemi_Andrine
"Kaunti Assembly ya Nakuru hakuna kazi yoyote ya oversight ambayo wamefanya kwa Executive. Kama kuna watu wametulet down hii Nakuru Kaunti ni County Assembly of Nakuru kwa maana kama ingekuwa inafanya kazi, Susan (Gavana) angekuwa impeached."- Mkazi, Nakuru
#TV47SaaTano@Kilemi_Andrine
"Rais William Ruto tunakupenda kwa sababu umetuletea maendeleo!" - Residents of Butula, Busia County, all hyped ahead of President Ruto's visit this weekend.
MILA ZA JANDONI
Kiama Kiama yatoa wito wa kuendeleza mila za jandoni.
Baraza lawataka jamii ya GEMA Lamu kuzingatia desturi za tohara.
Vijana 32 wahitimu jandoni Mpeketoni.
#TV47SaaTano@Kilemi_Andrine
USHURU WA MAJANICHAI WAPINGWA
Wakulima wapinga ushuru wa majanichai.
Mapato ya wakulima yapungua.
Gharama ya uzalishaji yaongezeka.
#TV47SaaTano@Kilemi_Andrine
WITO WA UFADHILI WA TVET
Chuo cha Meru chataja ufadhili kuwa changamoto katika elimu ya kiufundi.
Chuo cha Meru chatoa wito wa kuongeza ufadhili wa mafunzo ya kiufundi.
Taasisi za TVET zataka uwekezaji zaidi kupanua nafasi za mafunzo.
#TV47SaaTano@Kilemi_Andrine
Kenya Power raises concern over the increase of power infrastructure vandalism in the country.
Latest incident occured at Iiani Village in Mwala, Machakos County, where vandals brought down a 50kVA transformer.
Although they were unable to open its welded top cover, the transformer structure was damaged and its bushings affected.
KUKABILI DHULUMA ZA WATOTO
Visa 50 vya unyanyasaji vyarekodiwa Kaloleni.
Wazazi watakiwa kuwalinda watoto.
Mitandao ya kijamii yatajwa kuwa hatari.
#TV47SaaTano@Kilemi_Andrine
MACKENZIE AREJEA KIZIMBANI
Paul Mackenzie arejea mahakamani kujibu mashtaka.
Mackenzie anahusishwa na mauaji ya watoto Shakahola.
Tayari Mackenzie anatumikia kifungo cha miaka 200.
#TV47SaaTano@Kilemi_Andrine
FKF Nandi branch leadership crisis deepens:
Leadership wrangles intensify, with officials and stakeholders calling for removal of branch chairman Latiff Korir over alleged abuse of office and misconduct.
"Matatu drivers bully you, and one can cancel a ride just because you are a woman." - An online bodaboda rider, Nyokabi Alice Wainaina, on the challenges she faces.
VURUGU BUNGENI KWALE
Vurugu zashuhudiwa katika Bunge la Kaunti ya Kwale.
Waandamanaji wavamia majengo ya Bunge la Kwale.
Waandamanaji washinikiza kuapishwa kwa Wawakilishi Wateule Kwale.
#TV47SaaTano@Kilemi_Andrine
SAFARI YA UCHAGUZI 2027
IEBC kukutana na viongozi wa vyama vyama vya kisiasa.
Upinzani uliondoka katika mkutano wa IEBC wiki iliyopita.
Maandalizi ya uchaguzi wa 2027 kuangaziwa mkutanoni.
#TV47SaaTano@Kilemi_Andrine