Mtuhumiwa wa uhalifu atangaza kugombea urais
A24 tv
ALIYEKUWA Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) Francois Bozize ametangaza kuwa atagombea urais katika uchaguzi uliopangwa kufanyika mwezi Desemba maka huu,… https://t.co/oS9tbrCres
RATIBA YA MAZIKO YA MKAPA YABADILIKA
A24 tv
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gelasius Byakanwa amesema maandalizi ya maziko hadi sasa yamefikia asilimia 80 na Mwili wa Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa utawasili moja kwa moja… https://t.co/3UeXhuJihP
A24 tv
Makamu Mwenyekliti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu amepokewa na maelfu ya wafuasi wa chama hicho wakiongozwa na viongozi wakuu alipotua katika uwanja wa kimataifa wa Mwalimu… https://t.co/W3GxFMCR5H
FAMILIA YAELEZA JUU YA KIFO CHA RAIS MKAPA
A24 TV
HATIMAYE, familia ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa imetaja sababu zilizosababisha kifo cha rais huyo, aliyefariki dunia usiku wa Alhamisi Julai 23,… https://t.co/r1Y7BtKSz2
MAANDALIZI YA MAZISHI YA RAISI MKAPA YAKAMILIKA KWA ZAIDI YA ASILIMIA 50's
A24 tv
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gelasius Byakanwa amesema kuwa maandalizi ya mazishi ya Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa yamekamilika kwa… https://t.co/4knB8CFyD8
TUNDU LISSU KUTUA TANZANIA ....KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA RAIS MSTAAFU BENJAMIN MKAPA
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Jumatatu leo Julai 27,2020 Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu anarejea… https://t.co/gKNZgxBPIa
SERIKALI YA BURUNDI YATANGAZA SIKU TATU ZA MAOMBOLEZO
Serikali ya Burundi imetangaza siku 3 za maombolezo kufuatia kifo cha Rais mstaafu wa Tanzania Benjamin Mkapa. Kwa siku zote tatu Bendera zitapepea nusu… https://t.co/fcq23iQcIG
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, akiwa msibani, amesema Mwili wa Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa, utaagwa kwenye uwanja wa Taifa Dar es salaam. Siku itatangazwa baada ya taratibu zote kukamilika.
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kimeahirisha mahafali ya 50 (duru ya kwanza) yaliyokuwa yafanyike leo Julai 24, 2020 kutokana na kifo cha Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa. Mahafali hayo yameahirishwa mpaka itakapotangazwa tena.
BREAKING: Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli ametangaza kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya tatu Benjamin William Mkapa ambae amefariki wakati akiwa anapatiwa matibabu Hospitali Jijini Dar es salaam.
RIPMzeeMkapa🙏🏼
Richard Paul mgombea Nafasi ya ubunge kupitia tiketi ya chama cha mapinduzi, Akijinadi mbele ya wajumbe wa Mkutano mkuu wa Chama, kuomba ridhaa ya kuongoza Jimbo la Arusha mjini, huku kipaumbele chake kikiwa kusaidia kina mama wanaouza bidhaa zao sokoni katika maeneo ya barabaran
Richard Paul mgombea Nafasi ya ubunge kupitia tiketi ya chama cha mapinduzi, Akijinadi mbele ya wajumbe wa Mkutano mkuu wa Chama, kuomba ridhaa ya kuongoza Jimbo la Arusha mjini, huku kipaumbele chake kikiwa kusaidia kina mama wanaouza bidhaa zao sokoni katika maeneo ya barabaran
UTT Amis imezindua rasmi kituo cha kuhudumia wawekezaji katika
kutekeleza azma ya serikali ya awamu ya tano kufikia uchumi wa kati wa
viwanda ambapo imetawaka wananchi mkoani hapa kuchangamkia fursa za
uwekezaji.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amezindua rasmi Maonesho ya 44 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Dar es Salaam International Trade Fair). #Sabasaba
Kaulimbiu ya mwaka huu ni: "Uchumi wa viwanda kwa ajira na biashara endelevu."
Rais Dkt @MagufuliJP amemhamisha kituo cha kazi Mkuu wa Wilaya ya Handeni, mkoani Tanga, Godwin Gondwe ambaye sasa anakuwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke mkoani Dar es Salaam. Gondwe anachukua nafasi ya Felix Jackson Lyaniva ambaye amestaafu.
Nafasi ya Gondwe inajazwa na Toba Nguvila.
“DC wa Kisarawe @jokatemwegelo amefanya kazi nzuri sana katika kuondoa zero, palikuwa na zero nyingi hapa, ninachowashangaa Wazaramo watani zangu, hajaolewa ila mmeshindwa kumuoa mnamuangalia tu hapa, ndio shida ya Wazaramo, saa nyingine mnashindwa mambo”-JPM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na viongozi mbalimbali mara baada ya kuzindua mradi mkubwa wa Maji wa Kibamba-Kisarawe mkoani Pwani.
Wizara ya elimu imeelekeza ada katika shule binafsi zilipwe kulingana na makubaliano yaliyofikiwa mwanzo wa mwaka wa masomo na kusiwepo na nyongeza yoyote. Aidha, kwa vile shule zilifungwa katikati ya muhula, wanafunzi wapokelewe bila kikwazo chochote ili kukamilisha muhula huo.
VIONGOZI WA ARUSHA WALIOSAMEHEWA NA RAIS MAGUFULI WAHAMISHWA VITUO
Viongozi wa Mkoa wa Arusha waliosamehewa na Rais Magufuli wakati alipotengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya na Mkurugenzi wa Jiji hilo wamehamishwa vituo vya kazi.