#TajiriLaKihaya
Daslam bhana…
Manzi yako inaweza kupigia Video call saa nne usiku kwamba inalala…
Na ikalala kweli… kumbe imeseti ALARM saa saba usiku inatoka kwenda Club🤣😅
Na ukipiga usiku huo hapokei… asubuhi anakuambia alikua amesinzia💔
Kuna kipindi nliachana na michepuko yangu 6 kipindi hicho ndani ya Usiku mmoja!
Nlipiga doria matata saana kuanzia saa saba usiku hadi tisa.
Samaki samaki, wavuvi kempu, The Uncles,The Link,Tips nk
Kipindi hicho Amell na the voice hazipo..
Nlikua napita meza hadi meza…
Nkikupata nachukua ufunguo wa Apartment roho safi…nguo zako bolt atazifanyia delivery…
Maana kipindi hicho nlikua nawapangiaa full furnished apartment- unakuja tu na nguo 🙌🏽
Daah maisha haya!
Now nmeokoa…
Unapohisi Mtu anakukwepa, muache awe hivyo, labda Mwenyezi Mungu anataka ajitenge nawe, kwa sababu si mzuri kwako, kwa hivyo Shukuru Mwenyezi Mungu anakulinda tu.