🚀 Connect & grow your business across Africa
🛍️ Buy • Sell • Access trade info
📊 Simplify your business operations with iSOKO
👇 Download the app now!
🔗
Biashara ni uaminifu!
Katika ulimwengu wa ushindani, kuwa muuzaji aliyethibitishwa na vyama vya kitaalamu kunakupa heshima na kuongeza imani kwa wateja wako.
Biashara ni mahesabu, sio kubahatisha!
Usikubali kupoteza wateja kisa bidhaa imeisha na huna habari.
Ukiwa na iSOKO, unadhibiti stoku yako kidijitali na kupata taarifa mapema kabla bidhaa hazijakata.
Rahisisha usimamizi, ongeza faida. Fanya biashara kijanja leo!
Huna haja ya kusubiri Hadi mwisho wa mwezi au kutafuta mhasibu Kwanza ndio ujue kama unatengeneza faida au unakula mtaji.
Ukiwa na iSOKO, Unapata ripoti yako ya faida na hasara hapo hapo kwenye simu yako!
Rahisisha maisha, boresha biashara yako Leo.
#iSOKOTanzania
Hili no daraja lako la kuuza Zaidi!
Ungana na wanunuzi ndani na nje ya nchi na panua biashara yako kwa urahisi.
Pakua sasa tukuunganishe na wanunuzi bila mipaka!
#iSOKOTanzania
🌟 Exciting opportunity for women & youth in Dar es Salaam! Join the Bid for Success (B4S) Cohort 4 program by @TanzaniaWomen to boost your skills in public procurement.
Apply: https://t.co/ggxwaTETVi
Empowering youth entrepreneurs! Our Communications Officer, Theresia Kessy, just trained 25 young people from Mboni ya Vijana on how to use #iSOKO to grow their businesses. Thanks @stanbicbank for hosting us! BIASHARA NI SOKO, SOKO NI iSOKO #TWCC#iSOKO
🌟 Exciting opportunity for women & youth in Central Region! Join the Bid for Success (B4S) Cohort 3 program by @TanzaniaWomen to boost your skills in public procurement.
📍Location: Dodoma.
🗓️ Apply by October 18, 2024!
🌍 Apply 👉🏽 https://t.co/PmcL3J8BR2
@TanzaniaWomen and @CRDB FOUNDATION have signed an MoU to empower women & youth entrepreneurs. Funded by the Bill & Melinda Gates Foundation through @TradeMarkAfrica With plans to support 8,000 individuals, offer vital training, and integrate many into digital markets
iSOKO connects entrepreneurs to markets in 5 East African countries: Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, and Tanzania, reaching over 200 million people!
📲 Download iSOKO for free: Playstore 👉🏽https://t.co/vcF2aUiGgt to promote your business.
Habari njema kwa wapambanaji wote,sasa unaweza kupata mkopo kupitia taasisi za kifedha zinazofanya kazi na iSOKO.
Pakua application ya iSOKO leo kupitia Google playstore au tembelea tovuti ya https://t.co/7WfhJT2Zed iSOKO ni bure kwa watumiaji wote.
iSOKO inashiriki kongamano la uwezeshaji wanawake kiuchumi Zanzibar sambamba na maadhimisho ya siku ya wanawake duniani.
@tzwomenchamber_twcc @trademarkafrica
iSOKO inashiriki kongamano la uwezeshaji wanawake kiuchumi Zanzibar sambamba na maadhimisho ya siku ya wanawake duniani.
@tzwomenchamber_twcc @trademarkafrica