MIRADI 901 YASAJILIWA TIC
TANZANIA
Idadi ya miradi ya uwekezaji iliyosajiliwa na Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) imeongezeka kutoka miradi 207 yenye thamani ya Dola za Marekani milioni 1,092.7 mwaka 2020 hadi miradi 901 yenye thamani ya Dola za Marekani milioni 9,313
ndani ya Dira hiyo.
Aidha, Mhe.Rais Samia alielekeza dira hiyo kupitishwa bungeni, ikiwa ni mara ya kwanza kufanya hivyo ili kuweka kinga ya kisheria kwa Dira 2050 katika Dira hiyo kwa miaka 25 Ijayo
TAARIFA
Mhe. Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuzindua rasmi Dira ya Taifa ya Maendeleo ya mwaka 2050 (DIRA 2050) Julai 17, 2025.
Uzinduzi huo unatarajiwa kufanyika katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Mkoani Dodoma huku Dkt Samia akiweka rekodi ya kuwa
Rais wa Pili Tanzania kusimamia na kuratibu uandikaji wa dira hiyo ya miaka 25 ijayo akitanguliwa na Hayati Benjamini Mkapa aliyeandika dira inayomaliza muda wake ya 2000-2025.
Wakati wa uzinduzi wa Dira 2050, Watanzania ndipo watakapopata fursa pia ya kufahamu yaliyomo
MHE.RAIS DKT SAMIA KUFANYA ZIARA NCHINI MSUMBIJI
Mhe. Rais. Dkt Samia Suluhu Hassan leo juni 24 ataondoka nchini kuelekea Maputo, Jamhuri ya Msumbiji kwa ziara ya kikazi ya siku mbili (Juni 24 na 25) kufuatia mwaliko wa Rais wa nchi hiyo Mhe. Daniel Francisco Chapo.
Tutakuletea matangazo Mubashara kutoka Katika Viwanja vya kisesa Bujora Mwanza.
Kaa tayari kupitia mitandao yetu ya Kijamii Facebook, Instagram,X, TikTok na YouTube
Mhe.Rais Dkt Samia Suluhu Hassan (Chifu Hangaya) atazindua tamasha la utamaduni la Bulabo (linalofanyika Kila mwaka Kanda ya ziwa Katika Mkoa wa Mwanza) Leo Juni 21,2025 ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya kikazi Mkoani humo.