Asanteni sana Wanasimba kwa kujitokeza kwa wingi kuja kutushangilia. Haikuwa siku nzuri kwetu lakini tunajipanga na tutarudi imara zaidi. #ThisIsSimba#NguvuMoja
Heads up @SimbaSCTanzania Tupo pamoja, ndani ya mwezi huu huu kuna tar ya kujiuliza, Wachezaji wajue game ya tar 25 itakuwa ngumu kuliko ya jana, wachezaji waandaliwe kufight na sio yale maneno ya Manara ya kuwajaza sifa kabla ya kazi. @bvrbvra@moodewji God bless Simba🦁❤💪
Asanteni sana Wanasimba kwa kujitokeza kwa wingi kuja kutushangilia. Haikuwa siku nzuri kwetu lakini tunajipanga na tutarudi imara zaidi. #ThisIsSimba#NguvuMoja
@HecheJohn Siku kikiumana ni kimeumana tu na dawa ni kuvumilia, huyu BM itakuwa humpendi tu...sijawahi kuona umemsifu anapofanya vizuri, kuna game nyingi zilikuwa zimeshindikana yy akaingia na kubadili kila kitu. Sema kufungwa kunauma
Luke Shaw provided more assists in 3 minutes 51 seconds against Ukraine than Zinedine Zidane did in 14 appearances at the European Championships #mulive [@oilysailor]