@BarakaMaviatu@KennedyMmari Kwa mfn si elewi kwnn kila mfanyabiashara anenda kufungusha mzigo Dar, ilikua ni opportunity kwa Morogoro kuwa kitovu kingine cha biashara Tanzania
@BarakaMaviatu@KennedyMmari Huwezi punguza watu mjini kwa kuwakamata na kuwaallocate ni kinyume na biashara huria. Serikali inatakiwa kutengeza opportunity kwenye miji mingine watu hawame automatically. Watengeneze hata miji mipya ikibidi kama wenzetu waoivotengeza las vegas. Nchi ni likubwa hili
@CookedbyRiley They decide to go on a different route from their colonizer sports. It's more political. It the same in measurements they use imperial instead of metric for the same reason
@muheediva01 They're wired from survival this came when we lived in caves, and some predators hunted humans, so when you are sitting down while holding a baby, baby feel you're not alerted enough if the predators break incave