#HabariNjema….Zaburi 66:8-12….Msifuni Mungu wetu, enyi mataifa yote....yeye ametujalia maisha wala hakutuacha tuanguke, umetujaribu kama madini motoni,umewaacha watu watukanyage,tumepitia motoni, LAKINI SASA UMETULETA KWENYE USALAMA @EvahMwalili@Milele_FM
@EvahMwalili.. You're my healer, you're my keeper, my restorer, my life giver,.. No one can touch me the way you touch me, my promoter and my Defender... Eze no one like you! Ekweume! 🙏🙏👌👌.. #milelegospelsunday#milelegospelsunday@milele fm #milelegospelsunday
@EvahMwalili@Milele_FM Hallelujah.. Umeniongoza Baba ni asante.. So powerful l tell you! 🙏🙏🙏🙌🙌Siyabonga Yesu, niwega Yesu, ni asante simba wa Yuda #milelegospelsunday
@EvahMwalili@Milele_FM#PEPERUSHA.. A very good morning ma Taifa... Kwa hakika sijui niseme nn... Huyu Yesu sio hadithi.. Amenitoa katika mauti.. I have been unwell the whole last week, but kwa huruma zake Mungu nmepona.. Imela papa.. Vihiga hamisi God is faithful #milelegospelsunday
Bwana Yesu asifiwe saaana!! Wow, Jumapili ya mwisho ya mwaka wa 2019, tuseme nini jamani, Mungu amekuwa mwema! Karibu sana kwa Ibaada ya shukrani hapa @Milele_FM nami Mama Taifa @EvahMwalili Peperusha bendera sasa! #milelegospelsunday#milelegospelsunday