@godbless_lema Unaweza usipate muda wa kumkumbusha maana huwa unajipa mamlaka ya wenzio kufa wewe ukijisi ni immortal surely i tell you utakufa kabla hujawakumbusha
@Sativa255 Mashujaa mnaotaka wengine wafe ninyi mbaki kula pesa na mafungu ya mashoga toka ulaya๐ wapigania haki wote huwa wanaenda ground kupambana
@godbless_lema Lema unaangaika. Ukweli unaujua hata kwa maalim seif uchaguzi uoipofutwa mliangaika sana na hatimaye wazungu mwaka uliofata waoileta pesa na hakuna kilichobadilika. Ni suala la muda siasa ni sayansi