@francismtey Kwani nani kasema marekani ni mbinguni, kuna ulazima gani wa kwenda huko kama hawaruhusu uhuru wangu wa maoni, kwahio niwe mnafiki kushabikia wapuuzi eti kwasababu yakuhofia kukatazwa kwenda marakani, UPUUZI huo
Wanatuambia ni wakati wa kuponya majiraha na maisha yaendelee, ila hawataki kutuambia ni nani alietuumiza, kwanini alituumiza na nini tumfanye huyu alie tuumiza ili asarudie tena kutuumiza.
NOTE: Hizi sio zama za 7 x 70 , hizi ni nyakati za 1 x 1 , Jibu lazima liwe sawa na swali
@kondey_@themkulima@DorothNengai@msakufarm Hio ni nzuri zaidi brother, sikuzote natural ni bora kuliko artificial kwahio kama jambo lako unaweza kulifanya kiasili zaidi na likakupa matokeo mazuri ni vizuri kulifanya kwa namna hio hizi njia nyengine zipo kusaidia tu
@kondey_@themkulima@DorothNengai@msakufarm Ni kweli kabisa ila vitalu ni vingi na muda wakungolea ni mchache inashauliwa kupunguza ratio ya kiua gugu
Ila njia sahihi kwa mbegu za kitaru ni kungolea
@themkulima@kondey_@DorothNengai@msakufarm Hapana haiadhiri mishe ila kama ni midogo sana inaweza choma baadhi ya majani baadae itainuka ila sio kuua kabisa, stomper sina picha yake kwa sasa