🚨𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄
Mganga kutoka Ghana 🇬🇭 Nana Kwaku Bonsam ametoa utabiri wa ujasiri kuhusu mshindi wa Kombe la Dunia mwaka Huu 2026.
Ametabiri kwamba Ureno, ikiongozwa na Cristiano Ronaldo, itanyakua kombe hilo mwishoni mwa mashindano.
Unabii wa Bonsam umezua mjadala mkubwa miongoni mwa mashabiki wa mpira wa miguu kutokana na mwanzo usioridhisha wa Ureno kwenye michuano hii.
#MeaMswahiliUPDATES
WHAT THE F*CK ARE YOU AFRAID OF
- Death : We’re all gonna die.
- Bankruptcy : You can make it all back.
- Shame : Everyone will forget in a week.
- Rejection : It happens to everyone.
- Failure : It’s part of the path.
- Judgment : They’ll judge anyway.
- Losing people : Not all are meant to stay.
- Making mistakes : You’ll survive them.
- Taking risks : Regret hurts more.
Live every day like it's your last day.
Kuna mwanafunzi mmoja wa chuo alikua anacheza mchezo kwenye vikundi akapokea jina la kwanza 1M, pia mzee wake alikua amempa hela ya matumizi kwaajili ya hostel akaongezea na hela ya boom
Baada ya kukusanya akapata kama 3M, yule bwana akachagua team zake 2 zenye jumla ya odds 2 akaitia 3M akisubiria faida ya nusu kwa nusu ndani ya dk 90.
E bwana eee! Muhindi alivyokua hana huruma akapita na 3M yote. Dogo baada ya match kuisha mwili wake ukafa ganzi akawa anatetemeka mfano wa mtu aliepata kifafa. Na alikua akipwe simu ndio anazidi kutetemeka.
Baadae dogo akatafutiwa mwanasaikolojia ili amuweke sawa.
Oya wanangu hii sio kazi
12. Clickworker
Clickworker offers remote microtasks like data entry, AI training, writing, and surveys. It’s ideal for earning extra income with flexible, task-based work.
Experienced workers earn up to $10/hr.
🔗 https://t.co/EmPfcemDUR
Huu utaratibu wa Milo mitatu ~ breakfast, lunch na dinner aliuweka nani..?
Madaktari?, uhitaji wa miili?, mazoea? Utamaduni?, Hakuna ubaya kuhoji baadhi ya mambo.
BREAKING: 14 POINT MOU BETWEEN IRAN-U.S TO BE SIGNED ON FRIDAY
1. The permanent and immediate halt of war on all fronts, including Lebanon.
2. A U.S. commitment not to interfere in Iran’s internal affairs and to respect the sovereignty of the Islamic Republic of Iran.
3. The complete lifting of the naval blockade within 30 days.
4. A U.S. commitment to withdraw its forces from the areas surrounding Iran.
5. The reopening of the Strait of Hormuz within 30 days under Iranian “arrangements”.
6. The suspension of oil sanctions, petrochemical products and derivatives, and Iran’s full access to the financial proceeds from them.
7. The requirement for the US & its allies to present reconstruction plans for Iran worth at least $300 billion.
8. Sixty days of negotiations to reach a final agreement based on nuclear issues and the complete lifting of primary and secondary U.S. sanctions, as well as UN Security Council resolutions and resolutions of the IAEA Board of Governors.
9. Iran’s reiteration of its commitment under the NPT not to produce nuclear weapons.
10. During the negotiation period, the U.S. has committed not to add to its forces in the region and not to impose any new sanctions.
11. The release of $24 billion of Iran’s frozen funds during the 60-day period of final negotiations. Half of this amount must be made available to Iran before the negotiations begin.
12. The formation of a supervisory mechanism to implement the agreement.
13. The final agreement will be approved through a UN Security Council resolution.
14. Final negotiations will not begin before half of Iran’s frozen funds are released, Iran’s oil sanctions are suspended, and the naval blockade is lifted. The final agreement will be limited only to the fate of enriched materials and enrichment, sanctions relief, and the program for rebuilding Iran’s economy.
Note: Discussions about Iran’s missile program and support for Resistance groups have been definitively removed from the agenda.
Ukiijua Hii Siri Umasikini Utausikia Kwa Jirani Tu.
Hapa Kuna Kila Kitu Nilichojifunza Kuhusu Pesa Hakuna Mtu Yeyote Atakwambia Wala Shuleni Hawakufundishi.
<Thread/Uzi>
Unakumbuka kuna nyakati ulikutana na situations ambazo zikikufanya uishi kwa wasiwasi, aibu, fedhaha na kutojiamini?
Nyakati hizo si zilipita?
Na nyingine zitakuja tena, always stand your ground.
Hakuna nyakati zinazudumu, usikubali kutawaliwa na hofu au fedhaha.