Wana wake wana mambo yaajabu sana.unakuta una mtongoza afu kuku jibu ana zungusha sketi mpaka basi afu akisha kukubali anaaaza kukuharakisha umuoe haraka., kwanin asinge kubali mapema ili aolewe haraka😁😁.good.ndaki.tz 🇹🇿
#EPL Mechi ya #PremierLeague kati ya Chelsea dhidi ya Manchester United imemalizika kwa sare.
Chelsea imebaki kileleni ikiwa na pointi 30 kwenye mechi 13, huku Man United ikifikisha pointi 18 katika nafasi ya 8 kwenye mechi 13.
Nini maoni yako kwa dakika 90?