Get to know Tanzania’s President Samia Suluhu. She wanted to serve the people, And she started before she was 18. Worked her way Up, But she never wanted to be the VP or the President. Destiny chose her.Listen to the History of Madam Samia,in her Own words https://t.co/RTiEnSmy76
@kigogo2014 Tanzania Tunapenda kuwa Tofauti na Dunia. Baada ya IG page ya “UshauriWaCorona” Kuwaanika Wazi kuwa Hawaangalii Vipimo Wageni wakija navyo , sasa Wameenda To the other Extreme, Double Vipimo 😂. Serikali Inaongozwa na Greed , Uroho wa Pesa. Sasa subiri tenda za Chanjo , Fursa
@kigogo2014 Tuwape Pongezi Kuongeza Ajira Ya PILI MUHIMU zaidi Kuliko ZOTE. Ya Kwanza ni Madaktari na Manesi. In my humble Opinion. Waendelee Zaidi Katika hizi Sekta. Ndo Zinajenga na Kuponya Nchi yetu. Elimu na Afya ndo Mambo yote; yaliyobaki Sekta Binafsi zisaidie wakiwekewa Sera nzuri
@kigogo2014 Kwa hio Tuliamua Kuna Watu Watatu Tanzania Wapo ABOVE the Law. Imagine THAT. Pure IMPUNITY hata akishikwa anaiba Trillions kwenye Hazina, Au Akaagiza Mtu Fulani Auawe Hawezi Kushitakiwa. Tumeamua kuwafanya Hawa Watatu MIUNGU kiasi wakiwa Madarakani. Nchi hii inashangaza sana
@kigogo2014 Hilo Gari lilikuwa Tayari Mali ya Serikali. Limekaa tu linapata Vumbi. Sioni Tatizo Kumpa Mzee Kama Token of Appreciation. Ana muda Mchache Umebaki- Muache Adamshi
@kigogo2014 Kule Mikocheni si hata wazee Wa Awamu ya Kwanza Waligawana Maeneo. Halafu tena bado wakajengewa wote Masaki. Halafu ongeza Majumba wanayojengewa na watu Binafsi kama akina GSM na Bakhresa.. Siasa Inalipa acha mchezo
@kigogo2014 Wacha watu Wafturu kwanza.. Halafu Michambo ndio Ianze. Game Hainogi na Swaumu. Hata Wachezaji nao Wapate energy mwilini. Hii Game Muhimu, Watu WameBeti Makubwa kwenye hii Gemu. Sio Mzaha, Lazima Serikali iingilie hapa kama TFF hawakuchukua Hatua mapema kufkiria walioFunga swaumu
@HKigwangalla Hivi Dem wako Wa Mwanza yule mweye kaduka Kake ,Uliempeleka Dubai Bado Uko Nae ? Maana Kuna Tajiri Mupya Anamkula Siku Hizi. Nilimuona TIPS mzee JPM alivyofariki AkiBambika SawaSawa na one of the Owners.
@kigogo2014 Mama anajaribu Kuwaambia Ukweli Maana Marehemu Alifunga Fix Kibao. Sasa ni Kama kaachia LandMines mama aziDisarm . Kwa Nchi Za Africa, suala la Pension ya Wazee ambao hawajachukuliwa Pato la Mishahara yao Huko zamani bado Haliwezekani. Hio ni Gharama Karibu 30% ya Bajeti.Hatuwezi
@nulphin@MariaSTsehai Si ndo mnavyotaka ili muendelee na kuwa Relevant? 😂. Leo mama akifukuza Majangili kibao , akaleta Damu Mpya, na akawaskiliza Wapinzani na Kufanyia kazi Mapendekezo yao ..Uhuru wa Vyama vya Kisiasa kufanya mikutano Ukarudi, mtaBADILI dini Kweli ? Bado mtamkosoa Mavazi
@MariaSTsehai He doesn’t Qualify as a Political Prisoner . He’s an Activist with No Political Affiliation, who is currently held on Drug Charges. Even if its bogus charges: The Current President cannot Intervene, and set him free. But she might order someone to look into the merits of his case