@venomfx11@ATizulwa_ Hamna udevowoshipa watu wanafanya biashara, baba wa Elon alikua mmiliki wa migodi ya Emerald Zambia..jifunze vizuri, utajiri wa duniani una vyanzo vya biashara sio nje ya hapo.. maskini ndio wanadanganywa na kutishwa wasiulize maswali
@ATizulwa_ Money Laundery, Money Mules & takataka unazojua wewe Biashara haramu boss zinajificha katika lugha isio na maswali mengi mbona hio iko muda sana.. ukishaambiwa uchawi, ushoga, freemason, huwezi uliza maswali mengi. Ila biashara inafanywa hela inatakatishwa wewe jua hilo
@justice_ser@MkulimaKante Uko Zone Gani? Ila hii page yao online uwapigie simu ni ya muda kweli wako very strong, KKKT ELCT Saccos https://t.co/SyZN1G4Qdi
@MkulimaKante Ukisoma unapenda unaenjoy, unapiga maGPA makubwa unapata scholarship unasepa nchini? Kwani lazima usubiri connection za Tz. By the way scholarship no connection aingie tu hapa academic twitter fursa kama zote. So akimaliza sio lazima kupambana tz, asome kwa malengo
@MkulimaKante Ukisoma kitu unakipenda unakua creative unaenjoy na milango inafunguka. Utabuild ukiwa field utapata tu huko kampuni za wahindi haha.. Je swali ni unapenda unachotaka soma?
@MkulimaKante Kujifunza nje ya darasani, unajiongeza unajibrand na vinginevyo. Hao wa connection ukijiendea kwao huna vyeti utadharaulika utaonwa kama houseboi, ndio uchawa unaanzia hapo. You bttr watch your back ujiweze ujue unafanya nini.. kama unaweza uchawa haya tafuta connection mie siwez
@MkulimaKante Pia kumbuka kwa maisha ya duniani kujifunza vitu unahitaji hio basic understanding, utaingia youtube unaelekezwa overlay haujiamini haujui unaangalia nini utaelewa nini? Au unajifunza ujuzi flani online wanatumia lugha ya kiingereza. Kusoma inakujengea uwezo wa kujifunza nje
@MkulimaKante But kwa kijana wa kawaida anaejitafuta kwani anahitaji kuwa mkurugenzi hapana! Anahitaji ubunge au nafasi mahali flani hapana. Anahitaji ujuzi na uwezo na namna ya kunavigate mazingira yake, network ataikuta ground kwa industry husika na anavyoishi vizuri na watu
@MkulimaKante Kusoma inapanua ubongo wako, kufaulu at basic level ni muhimu. Ni vyema uwe na hicho cheti basic utakitumia kufanya hivyo vitu. But life ya kusema unategemea connection hao connection wanakufa wanaotoka kwenye mfumo maisha yanabadilika wakati wowote. Anaongelea uwe mtu mzito
@MkulimaKante You need to know what you are doing, and do it best.. basi kazi yako inene na watu wakutafute kwa kazi yako.. hizo connection kama unafanya kitu cha mazabe mazabe.. but at ground level, unahitaji connection gani kuingia shamba ulime? Au kuuza mazao? Unakata vibali unamove
@MkulimaKante Hayupo sahihi piga kazi kazi yako itajisema. Mfano uko na talent unatengeneza videography nzuri, unajua editing, una camera nzuri unahitaji connection? Unatengeneza furniture nzuri unapromo kazi yako kwa umahiri, you need anyone? Unapika vizuri una vifaa vya catering?
@MkulimaKante Mie nimejifunza Capcut editing, Youtube. Aisee wale majamaa ni balaa. Hata Ig reels unafundishwa how to do kitu mpaka unakua yaani zaidi na kwenda shule wazungu wako very generous. Ukikuta mbongo yuko youtube eti recipe anaficha, mzungu hana cha secret anakupa free ushindwe wewe
@MkulimaKante Mzungu anakupa abc, ukisema una apply scholarship mpaka unaandika barua vipi IELTS aisee nilidesa nikafaulu first attempt youtube, presentation na possible questions za exam. Hata biashara, kuna vitu ukijifunza ukiacha na hawa majamaa wa 170M V8 na miujiza ya kukanyaga mafuta
@MkulimaKante Wazungu unaweza ukawasikiliza kwa practicals, How to do something mfano, ukiachana na wale wengine wenye ponzi schemes zile unakuta unamsikiliza ila ana agenda ya kibiashara nyuma yake.
@MkulimaKante@mufimbaa Mie kuna time aisee broo nawasikiliza trust me wazungu wana practical guidelines sana very helpful. Ukiwasikiliza kwa target ya kufanya sio kwa miujiza na ufreemason unatoboa..