@SharonMontana20 Cycle yako pia inatokana na level uliyonayo ukitaka uwe na watu unaosema lazima naww ufanane nao muuza pili pili gengeni lazima Cycle yake itakuwa ya watu wa namna hiyo sio rahisi kuwa na watu Serena
@jeju_julius@Zeeswitcher Akishakulipa utarudishaje credibility yake? au asipokulipa kwa kumuanika itasaidia nini? huenda mdau amekwama sometimes unaemdai alikuwa ana dhamira yakukulipa but mambo hayakwenda kama alivyowaza
@SharonMontana20@NelsonWilson_ Watu wanadhani maisha ni kuwa ni kuwa na kazi au HELA ingawa hivyo vitu ni muhimu lkn kuna zaidi ya hizo materials thing
@Sincerelyrahma7 Hao wanawake walikuwa Michelle tu
Kukwepa KOO zenye Magonjwa ya kurithi ilikuwa inafanyika Scan ya wazee kijana akifikisha umri wa kuoa wazee wanapewa hilo jukumu sio siku hizi mtu ukishuka kwenye chombo cha usafiri tayari umeansha family