Ndugu yangu Asubuhi ya leo usijipe umuhimu sehemu usiyo hitajika, Jitahidi Kula chakula ulicho na uwezo nacho.
Kwa kifupi sana "Nakukumbusha tena usionekane sana kwa watu "Sijakuona siku nyingi ni bora kuliko huyu Mjinga kaja tena hapa kufanya nini!!" 🤓