Mhe. Balozi Kasike ukutana na ujumbe wa Tanzania unaoshiriki Vikao kuhusu Soko Huru la Biashara Barani Afrika (AfCFTA) vinavyofanyoka Jijini Maputo, Msumbiji
Mhe. Balozi Phaustine Kasike akutana na Mhe. Manuel Gonçalves , Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Msumbiji na kuzungumza masuala mbalimbali ya Ushirikiano kati ya Tanzania na Msumbiji.
Mhe. Phaustine Kasike, Balozi wa Tanzania nchini Msumbiji akutana na Katibu Mkuu, Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale (Zanzibar), Dr. Aboud Suleiman Jumbe na kujadiliana namna ya kuimarisha ushirikiano kati ya Msumbiji na Zanzibar.
Mhe. Balozi Phaustine Kasike akutana na Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar (ZIPA), Bw. Saleh Saad Muhammed kwenye Ofisi za Mamlaka hiyo Maruhubi, Zanzibar.
Mhe. Balozi Phaustine Kasike amekutana na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara (TANTRADE), Bi. Latifa Khamis kwenye Ofisi za Mamlaka za Mamlaka hiyo zilizopo kwenye Viwanja vya Sabasaba, Jijini Dar es Salaam.
Mhe. Phaustine Kasike, Balozi wa Tanzania nchini Msumbiji atembelea mabanda mbalimbali katika Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) yanayoendelea Jijini Dar es Salaam.
ZIARA ZA KIMATAIFA ZIMELETA MAFANIKIO MAKUBWA
Katika kipindi cha Julai, 2023 hadi Aprili, 2024 Wizara iliratibu ziara 31 za Viongozi Wakuu wa Kitaifa nje ya nchi na ziara 12 za kikazi za Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika mataifa mbalimbali.
Asanteni sana wote hapa mliofuatilia hotuba yetu ya bajeti Bungeni jana na kutoa maoni mbalimbali. Tunafarijika pale Watanzania wanapofuatilia masuala ya uhusiano wa kimataifa na diplomasia ya nchi yao.
Honouring the strong diplomatic and political ties between our two nations, H.E. @SuluhuSamia will visit the Republic of Korea from May 31th to June 6th 2024 at the invitation of the President of Republic of Korea, H.E. @President_KR.
During her official visit (1st to 2nd June), H.E @SuluhuSamia will hold official talks with H.E @President_KR at the State House. Highlighting strong bond and great growth potential between our countries, the two Heads of State will witness signing of a number of agreements. One of them is a $2.5 billion softloan to fund crucial development projects over the next five years (2024-2028). Other agreements will aim at enhancing cooperation in aviation, Blue Economy, strategic minerals, culture and arts, and agriculture.
H.E.@SuluhuSamia will receive Honorary Doctorate on Aviation Management from Korea Aerospace University (KAU) for transformative actions, policy interventions, and pragmatic leadership that has transformed the sector, including the development of airport infrastructure; investment in capacity building for systems, technical personnel and supporting staff; and expansion of fleets both for passengers and cargo planes - from 1 in 2015 to 14 now.
Thereafter, June 4th to 5th 2024, H.E @SuluhuSamia will take part in Korea-Africa Summit, which will bring together Heads of State and Goverment from Korea and Africa. H.E @SuluhuSamia will address the summit and also participate and deliver remarks in a panel on Strengthening Food and Mineral Security.
Economic diplomacy will be central to the visit, with H.E. @SuluhuSamia meeting leaders from top Korean companies to explore partnerships in energy, infrastructure, and film production.
In addition, recognizing South Korea's advanced film industry, President Samia will engage with leaders in the Korean arts, music, and film sectors to promote cultural exchange, boost tourism, and establish film studios and a National Film Academy in Tanzania.
Better news: Tanzania’s exports to India surged by 30% last year. We’ll reach the target of $10bn that PM @narendramodi and President @SuluhuSamia set in New Delhi last year. Market for Tanzania’s products is a consistent agenda in President @SuluhuSamia visits overseas.
Mhe. Phaustine Kasike, Balozi wa Tanzania, Msumbiji amekutana na Mhe. Alcinda António de Abreu, Mjumbe wa Kamisheni ya Siasa ya Chama cha FRELIMO kwenye Ofisi za Makao Makuu ya FRELIMO jijini Maputo na kuzungumzia masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Tanzania na Msumbiji.
@TanzaniainKSA @BrayanCrawford@mshambuliaji@AliMwadini @foreigntanzania Hongera sana kaka, tunakutakia kazi njema katika kituo chako kipya cha kazi. Mwenyezi Mungu ishallah atakusimamia.