Kama nilivyoahidi kwamba ikifika viewers 100,000 hii video ntasema kwanini imefanya vizuri kuliko zingine na ntahusianisha pia na stratergy in all my trending video so lets dive in....
Baada ya kuandaa content hii kwa siku tatu na kuona matokeo makubwa, hii ndio breakdown yake..
After 6 Months on TikTok I think I will just have my first video to reach 100k viewers just about today
Link ya video hii hapa
Ntakuja kutoa breakdown kwanini hii imefanya vizuri
https://t.co/LpAB2CoOkH
UZEE UMENIFIKAπ
π Hello 3rd Floor.
30 years of lessons, wins, losses.
-Today I celebrate God's goodness and the gift of another year.
Happy Birthday Gaby. π₯π
π @BarakaMaviatu#MadiniYaGaby#ThirdFloor
UZEE UMENIFIKAπ
π Hello 3rd Floor.
30 years of lessons, wins, losses.
-Today I celebrate God's goodness and the gift of another year.
Happy Birthday Gaby. π₯π
π @BarakaMaviatu#MadiniYaGaby#ThirdFloor
Hapa jetour mda mwingine nafanya sales, na jambo nililokuja kugundua SALES sio kukomaa kumweleza mtu namna bidhaa yako ilivyo,
ila SALES inatokea pale tu mteja akiwa na uhitaji wa hiko kitu chako.
sasa ukiweza kutengeneza uhitaji ni atanunua tu.
"Elimu ya sheria ni muhimu! βοΈ Wengi wanachanganya adhabu ya miaka 30 jela kwa mwanafunzi wa shule ya msingi/sekondari na mwanafunzi wa chuo kikuu. Je, unajua tofauti ya kisheria iliyopo, Tupeane muongozo na nipe maoni yako kwenye comments. π"
This is my prayer for each one of you out there.
May those with health challenges recover quickly and may those with economic challenges receive good news in the Mighty name of JESUS, Amen.
(π₯ Mwokozi by Paul Clement) Stay blessed yβall.
Hii ndio list ya mambo kumi ambayo @Thereal_taivina na @GnakoWarawara wamezingua kwenye hii ngoma yao mpya ya wakamaria nimeiangalia kwa zaidi ya masaa saba na haya ndio mambo ambayo huwezi kuyaona kama na wewe umeiangalia kwa hype....
Uzi shuka nao π§΅
Nimeweza Kutoka followers 1000 mpaka Followers 8000 kwa kipindi cha siku 90 kwenye TikTok yangu...
Na kuna pattern moja inayojirudia kwenye hizi content ambazo kila mfanyabiashara anaweza kuitumia
Comment neno followers na Comment zikifika 100 ntaiachia hiyo siri for free
Tofauti na washikaji wa karibu wa Ninja msiamini Info za Strangers kuwa Ninja alikuwa wapi akaenda wapi zile info sio za Bahati mbaya ni sehemu ya plan za kupoteza Maboya au kumtafutia kosa mwana.
Unaamini mtu mmoja anaweza kuzomea kwenye Festival na sauti yake ikaenda?
RAT