@fatma_karume Dada Fatmu haya mambo yaliishapita tusonge mbele na mengine hakuna sababu ya kuanza kulaumu yaliyopita hata kama ningekuwa ni mimi ningefanya hivyo kwa wanangu na hadi sasa watoto wangu https://t.co/kJkxifXUcf iweje wao baba yao hasiwape ulinzi?fanya kazi achana na hizi story
@Jambotv_ Kwa hiki kitendo siyo sawa kabisa hatutakiwi kufikia uhasama huu la sivyo itakuwa hatari sana ndani ya nchi yetu tuliyojijengea amani ya kudumu
@Eng_Matarra@ayubu_madenge Sasa makosa ya baba yake yeye yanamuhusu nini mkuu na kama dunia ingekuwa hivyo basi yawezekana hata wewe kuna makosa ambayo baba yako ameishawafanyia watu kwa hiyo nawe unaweza kupewa adhabuπ€£π€£π€£
@mshambuliaji Anajibu kwa hasira na kejeli maswala ya msingi.anajiona yeye kama ndiyo mwenye hiyo taasisi wakat kapewa kuisimamia.mwambie aache kutuongoza kwa ushabiki wake binafsi ila afate kanuni zilizopo.bodi walichemka kabisa wanatakiwa kuwajibika
@iamsalumally Unasema Heris anakuaribia timu yako au unaongea tu ili nawe uonekane?msiojua mpira siku zote mnajua kuongea sana ila mkipewa timu hata ya mtaan tu msimamie hamuwezi kuiongoza.acheni watu wafanye majukumu yao tuliyowapa
@fumbokhanJr Kwenye hili hawa watoa tuzo wamezingua sana.hivi kweli dkk 70 zote walikuwa hawajampata man of the match wakati ni robo 3 ya mechi nzima kabisa.sawa sisi wana Yanga tunamshukuru kijana kwa kazi nzuri lkn hiyo tuzo hakustaili kupewa
@fumbokhanJr Huyu mnamalaumu tu au hamjui kuwa nguvu ni kitu cha kuisha.ile speed ya Zidane siyo ya kitoto kabisa yaani ilikuwa lazima Zimbwe akubali yaishe la sivyo angesababisha penalty kama ile waliyopewa wao na JKT.pia Zimbwe hajawai kupumzika bench kidogo yaan kila game yumo tuπ€£π€£π€£π€£
@singidabssc Hamna mbunge hapo ila mwambieni aige mfano wa mbunge wetu Dr Tulia Ackson anaga mambo mengi yaani yeye timu zooote zilizo ndani ya jimbo lake iwe daraja la 4 ama ligi kuu zote ni zake na anazihudumia kwa kuzipatia vifaa vya michezo.