Huyo Mwanaume Unayemuona Anapambana Kuwapatia Kila Kitu Watoto Na Familia Yake Kiujumla.,
Ndio Kijana Ambaye Hakuweza Kupata Chochote Alichohitaji Pindi Akiwa Mtoto...โ๏ธ #UGEGE๐น๐ฟ
Siku Nyengine Nzuri Ya Kukumbuka Kuwa;๐
"Huyo Mpenzi Wako Unayemtegemea Kwa Kila Kitu Hatoweza Kukupa Mchongo Wowote Chanya Wa Kimaisha Sababu Anajua Uvivu Na Umasikini Wako Ndio Sababu Ya Nyinyi Kuwa Pamoja Na Yeye Kuendelea Kukutumia...โ๏ธ #UGEGE๐น๐ฟ
Njia Ya Kwanza Kuelekea Mafanikio Ni Kuamini Kwenye Uwezo Wako Binafsi "Kujikubali".
Kile Unachokiweza Kifanye Kama Hutofanya Tena Na Ambacho Hukiwezi Usikilazimishe Waache Wafanye Wengine...โ #UGEGE๐น๐ฟ
February 8 sikio la upande wa kushoto lilianza kuwasha nikaweka kidole sikioni kidole kikatoka na maji maji mazito yana shombo kama ya samaki, ushauri ushauri wa watu wa karibu pale nikaenda pharmacy chap kununua dawa ya matone, siku ya kwanza nimeweka ikafika siku ya pili...
Mwanamke Ni Kiumbe Kilicho Very Direct Kukuonyesha Madharau Na Jinsi Ambavyo Hathamini Hizo Calls Na Sms Zako Kama Akiwa Hakupendi.,
Mwanaume, Usiforce Mawasiliano Na Mwanamke Aliyeonyesha Dalili Zote Za Kukupuuza.,
Withdrawal Your Attention Na Pambania Malengo...โ #UGEGE๐น๐ฟ
Tunapambana Sana Si Kwasababu Hatuna Ndugu Matajiri, Tunao Ila Tunataka Wapokee Simu Zetu Kwa Wakati Pale Tunapowapigia.,
Sababu Wataelewa Kuwa Simu Zetu Ni Za Salamu Tu Na Sio Za Kuomba Chochote Kutoka Kwao...โ #UGEGE๐น๐ฟ
Ukifika Muda Ambao Utamsikia Mwanamke Akisema;
"Sitegemei Mwanaume Yeyote Kwasasa, Nataka Nijitegemee Na Kuwa Mwenyewe"
Basi Huo Ndio Muda Anaotegemea Mwanaume Kuliko Muda Wowote Ule.,
Wanawake Wote Wapambanaji Huwa Hawazungumzi, Wanaonyesha...โ #UGEGE๐น๐ฟ
Watu Hawaachani Sababu Ya Kusalitiana Bali Wanaachana Upendo Ukiisha.,
Mwanaume Anaweza Kumsaliti Mwanamke, Mwanamke Anaweza Kumsaliti Mwanaume Lakini Bado Wakaendelea Kuishi Sababu Ya Upendo.,
Siku Ambayo Upendo Utaisha, Na Kila Kitu Kitaisha...โ #UGEGE๐น๐ฟ
Maana Halisi ya Neno BUSARA Ni Kutomuuliza Mtu Jambo Ambalo Alikuficha.,
Na Tafsiri Kamili ya Neno HEKIMA Ni Kumuonyesha Haujui Hata Baada Ya Kujua Vyote Alivyokuficha...โ #UGEGE๐น๐ฟ
Kwenye Safari Yako Ya Mafanikio, Ongozana Na Watu Wanaojua Vingi Vizuri Kukuzidi.,
Na Kufikia Kilele Cha Mafanikio, Jenga Daraja La Urafiki Na Wale Wote Walio Na Maarifa Zaidi.,
Acha Upepo Wa Hekima Zao Ukusukume Kuelekea Juu Ya Kilele Cha Ndoto Zako...โ #UGEGE๐น๐ฟ
TEMPORARY POST:
Kazi Yoyote Unayoifanya Sasa Ifanye Kwa Juhudi, Maarifa, Nidhamu Na Kuipenda.,
Fanya Ukiamini Kuwa Watu Wanaona Unachofanya Ila Anasubiriwa Yule Mwenye Moyo Na Nia Kuja Kukuinua.,
Appreciation Post kwa MISSO MISSONDO Na Wanae.,
Wamefika Mjini..๐๐ฟ๐ #UGEGE๐น๐ฟ
@prossoff Sote tunajua mwanamke akikuzidi kipato Kuna asilimia kubwa ya kuletewa madharau mbeleni, Anatakiwa ajue kwanza Manzi hitaji lake kuu lilikua ni mtoto au mwanaume wa kuishi nae, kama mtoto ndio lilikua Ombi lake kubwa basi mwamba asiingie miguu yote, ATATESEKA.
Anaendelea Kukukwepa Sio Sababu Ya Ubusy wa Kazi au Mambo Yake.,
Ni Kwasababu Amempata Mwanaume Anayemuona Bora Zaidi Yako.,
BRO, Wanawake Hawanaga Kiburi Kama Hawajapata Sehemu Nyengine Ya Kuegemea...โ #UGEGE๐น๐ฟ
INASHANGAZA SANA : Toyota Kluger Zimependa BEI Vibaya Mno..
.
Yani sasa hivi Kluger Nyeusi grade nzuri Yenye viwango inakimbizana Harrier Tako la Nyani..
.
Halafu Leo $ imepanda tena na banks wanatoa mwisho $500 Per day..
.
Yani kupata $ sasa hivi inabidi uwe na mkono mrefu au ukubali rate za kibabe..
.
Kama hii chuma inauzwa $ 7500 mpaka bandarini hapo kabla ya ushuru na makolokolo mengine..
.
Yani kwa rate ya 2700 per $ inakubidi uwe na Tsh 20,250,000 ndo inafika bandarini..
.
Machine ni ya 2004 ushuru tu wanataka 11,106,054, hapa nikiweka na kununua inakua 31,356,054..
Tukitia na makolokolo mengine chuma inadai round figure 32.7M ndo unaishika ikiwa imesajiliwa..
.
Ukitia Insurance comprehensive na service unaitafuta 33 na point za mwishoni..
.
Weka na mafuta ili ufike zako Malampaka Ilemela karibu na Katoro huko mzigo unapanda..
.
Bei za magari zinapanda Yani mwakani kama unahitaji chuma ni either usogeze goli mbele au ulipanue tu..
.
Anyway tuendelee kupambana tu maana bila mapigano hamna kutoboa..
.
Na kama unahitaji machine njoo tuyajenga, we will do our best kukupa kitu kizuri kwa bei safi..
.
Kama una chombo majini leta docs ofisini tufanye assesment mapema kabla ushuru haujapanda..
.
Unapata control number yako unalala nayo unasubiri chombo wakati unajazia Pesa ya ushuru..
.
Chombo kikifika tunakitoa kinakula usajili unakabidhiwa uanze kupita sheli unaacha Pesa..
.
Na pia uanze kuletewa shida na raia maana tunaamini ukiwa na chombo na mzigo unao..
.
Kuna link ya UZI wa Kluger nimeshare hapo chini pita utajifunza kitu..
.
Na kama unataka picha zaidi za hii machine njoo WhatsApp 0714547598๐จ๐จ
Mliohitimu Vyuo Salama Hongereni. Mpo Kwenye Process Na Patience Ndo Ufunguo.,
Mnatakiwa Kujua Sio Wote Mtakao Toboa Kesho. Avoid Pressures, Kila Mtu Atatoka Kwa Muda Wake.,
All in All, Kasi ya Dunia Kwasasa Haitegemei Vyeti. Inataka Ubunifu, Nidhamu Na Kujiongeza..โ #UGEGE๐น๐ฟ