Hi nchi ambayo wazee wetu waliipigania ni moja tu. Siamiwni wazee wetu walirisk maisha yao kupambana na waingereza ili nchi ije kuangukia mikononi mwa watu makatili na wasiojali utu, uhai wala usalama wa watanzania masikini ambao hawajafanya kosa lolote zaidi ya kudai haki/usawa.
Vijana wa Mbeya wamezunguka maeneo mbalimbali ya Mashimo na Mabonde ya Mbeya kutazama kama watu waliojitambulisha ni polisi na Kumdhuru na kumchukua Mdude Nyagali kwa kumpiga na kitu kizito na kupoteza fahamu kama watakuwa walimtupa maeneo hayo, wamejaribu kufwata Damu uelekeo hawajapata Mafanikio, walishuka nae pembeni ya Mji, baada ya hapo haijafahamika wamempeleka wapi, Polisi wamesema wao hawahusiki Je ni nani?. Tunaendelea na Kutafuta.
‼️USHUHUDA LIVE KUHUSU AFANDE SHABANI KUHUSIKA NA UTEKAJI WA MDUDE‼️🚨
Sikilizeni hapa na eleweni. Shabani hajasingiziwa! HONGERA sana mzalendo kwa kusimama na kueleza bila woga uovu walioupanga maafisa hawa wa @tanpol
Hatumwogopi Shabani wala mabosi wake - wao ndo wakae wakijua jamii inampenda sana @mdudenyagali wamrudishe haraka sana!
Watanzania milioni 60+ hatuwezi kuishi kwa kuogopa kundi dogo la maharamia!
This video is the testimony of a Chadema member who was approached by two police officers - Shabani Chalo and Veda to divulge to them where exactly @mdudenyagali resides! He refused to assist them but they were ready to pay him good money
@SuluhuSamia ‘s death squad is reportedly a combination of police officers, other security agencies and even CCM youth - in true fascist mode!
We want these officers to #FreeMdudeNyagali immediately 👊🏽
#FreeMdude
Sikilizeni @tanpol najua kuna ambao mmechukizwa na yanayoendelea na tunawashukuru kwa kutupa taarifa za hawa watekaji miongoni mwenu ila mtupe full ramani
Nje ya hapo mnajenga chuki kubwa dhidi yenu miongoni mwa watanzania
#FreeMdudeNyagali#FreeMdude
Nawaza sana mpaka sasa sijui nani anafuata baada @mdudenyagali Ama ni marafiki zake wapenda haki au ninani? Lawama zangu zote natupieni Watanzania kwani uoga umetawala zaidi bila kujali kesho ni zamu ya kila mmoja wenu.😭😭 #FreeMdudeNyagali#FreeMdudeNyagali