UCHAGUZI | SERIKALI ZA MITAA
Msimamizi wa Uchaguzi, Kituo cha Kagera Mikoroshini, Kata ya Ndugumbi, jijini Dar es Salaam, akizungumza na wanahabari kuhusu mwenendo wa upigaji kura katika kituo chake.
#UhurUpdates… https://t.co/Bntzwlapof
POLEPOLE | UCHAGUZI
Katibu wa NEC ya CCM, Itikadi na Uenezi Humphery Polepole, amesema vyama vya upinzani vilivyokimbia uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 24, mwaka huu, siyo kweli kwamba… https://t.co/NZScDgtnlK
BITEKO | MADINI
Waziri wa Madini Doto Biteko, amewapa saa 24 wafanyabiashara wote wakubwa wa madini katika mkoa wa Arusha kuhamishia ofisi zao kwenye soko la Madini la mkoa wa Arusha lililopo eneo la Uzunguni.
Pia… https://t.co/UJHHV7zgoX
TAIFA STARS | AFCON 2021
Wachezaji na Viongozi wa Timu ya Taifa “Taifa Stars” leo Nov. 13 wamejumuika na Wanafunzi wa Laurent International ikiwa ni sehemu ya shughuli ya Kijamii kuelekea mchezo wa kufuzu michuano… https://t.co/sooV2Qn6Uj
UFUGAJI | LINDI
Wafugaji kutoka kata ya Mipingo Halmashauri ya Mtama Mkoani Lindi, wameishukuru Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa kuwapatia dawa za kuogeshea mifugo yao ili kuthibiti wadudu waharibifu… https://t.co/GrqfDBDRO6
Rais Magufuli amezindua kitabu kinachoelezea maisha binafsi ya Rais Mstaafu Awamu ya Tatu Mhe Benjamin William Mkapa
#SisiNiNchiTajiri#SisiNiTanzaniaMpyA+ ya Wazalendo, Waadilifu, Waaminifu, Wachapa Kazi
24:7… https://t.co/1yFbqhZHZN
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako l amefungua ofisi mpya za Uthibiti Ubora wa Shule ya Wilaya Misungwi. Moja kati ya ofisi 100 zinazojengwa katika Halmashauri za wilaya nchini
UJANGILI | UHALIFU | ARUSHA
Polisi Mkoa wa Arusha kwa kushirikiana na Kikosi Kazi kinachohusisha tanzania_national_parks , @NgorongoroNCAA , Kikosi Dhidi ya Ujangili Kanda ya Kaskazini na Kikosi kazi Taifa… https://t.co/DvyybCb2fZ
HASUNGA | SACCOS | ARUSHA
Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga, meliagiza jeshi la polisi mkoa wa Arusha kuwakamata viongozi wa Chama Cha Ushirika cha Akiba na Mikopo Cha(Kurugenzi SACCOS) kutokana na ubadhalifu wa fedha… https://t.co/r7pJGZx3W0
BAKWATA MKOA WA DODOMA WARIDHISHWA NA UTENDAJI KAZI WA SERIKALI YA AWAMU YA TANO
Usiku wa kuamkia leo Novemba 10, Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. Bashiru Ally alikuwa mgeni rasmi katika sherehe za… https://t.co/RBeK8jKQaV