Top Tweets for #UhurUpdates
ADAM ADAM KUKIPIGA LIGI KUU LIBYA
📍 LIBYA: JUNI 4, 2021.
KLABU ya Al Wahda ya Libya, imemsajili mshambuliaji wa Tanzania, Adam Adam, mwenye umri wa miaka 24.
Kabla ya usajili huo, Adam Adam alikuwa akiitumikia klabu ya JKT Ruvu, inayoshiriki VPL Tanzania.
#UhurUpdates

UCHAGUZI | SERIKALI ZA MITAA
Msimamizi wa Uchaguzi, Kituo cha Kagera Mikoroshini, Kata ya Ndugumbi, jijini Dar es Salaam, akizungumza na wanahabari kuhusu mwenendo wa upigaji kura katika kituo chake.
#UhurUpdates… https://t.co/Bntzwlapof
MISA | CHAMWINO
RAIS Dk. John Magufuli na mkewe Mama Janeth waungana na Wakristu wengine kushiriki misa takatifu ya Jumapili katika Parokia ya Chamwino, jijini Dodoma.
#UhurUpdates #UkweliDaima #UHURUDIGITAL © 2019 https://t.co/hCS6UDC3WH
MWONEKANO WA GAZETI LA UHURU SOKONI LEO | ALHAMISI | NOVEMBA 14.
#UhurUpdates #UkweliDaima #UHURUDIGITAL © 2019 https://t.co/1tNh0ODayE
Dondoo za Gazeti lako la UHURU leo Nov. 13.
#UhurUpdates #UkweliDaima #UHURUDIGITAL © 2019 https://t.co/n1wdyY0DTf
MWONEKANO WA GAZETI LA UHURU SOKONI LEO | JUMANNE | NOVEMBA 12.
#UhurUpdates #UkweliDaima #UHURUDIGITAL © 2019 https://t.co/htChKwY2ll
UTABIRI | HALI YA HEWA
Kiwango cha juu cha joto kwa siku ya leo Nov 11/11/2019 kinatarajiwa kuwa Nyuzi joto 34 (34°C) katika mkoa wa Shinyanga.
@tma_services
#UtabiriTZ
#UhurUpdates #UkweliDaima #UHURUDIGITAL © 2019 https://t.co/Ii9r5i5w0W
MWONEKANO WA GAZETI LA MZALENDO SOKONI LEO | JUMAPILI | NOV. 10
#UhurUpdates #UkweliDaima #UHURUDIGITAL © 2019 https://t.co/BowiF0Fuxa
MWONEKANO WA GAZETI LA UHURU SOKONI LEO | ALHAMISI | NOVEMBA 7.
#UhurUpdates #UkweliDaima #UHURUDIGITAL © 2019 https://t.co/mFj6GBqFsW
SAMATTA | BELGIUM
Mshambuliaji wa Kimataifa wa Tanzania @Samagoal77_ hapoiiii.
Go lad 👏🏾🇹🇿
#UhurUpdates #UkweliDaima #UHURUDIGITAL © 2019 https://t.co/nUw5uIiBgN
CAG | MAKABIDHIANO
Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG), Charles Kichere apokelewa na mtangulizi wake Profesa Mussa Assad na kukabidhiwa rasmi ofisi kabla wote wawili hawajazungumza na waandishi wa habari, jijini Dar es Salaam leo Nov. 5.
#UhurUpdates #UkweliDaima #UHURUDIGITAL © 2019

MAKTABA | JPM
Siku kama ya leo, miaka minne iliyopita, Rais Dk. John Magufuli, alikula kiapo cha kuwatumikia Watanzania kwa nguvu zake zote, kwa akili zake zote, weledi na busara zote akiongozwa na rehema za Mwenyezi Mungu.
#UhurUpdates #UkweliDaima #UHURUDIGITAL © 2019

MWONEKANO WA GAZETI LA UHURU SOKONI LEO | JUMATATU | OKTOBA 28 | 2019
#UhurUpdates #UkweliDaima #UHURUDIGITAL © 2019 https://t.co/KEvDx7hGcl
TANZIA
Mwanasiasa nguli nchini na kiongozi wa muda mrefu serikalini Ibrahim Kaduma, amefariki dunia.
Ina Lillah Wainmalillah Raaj'un
#UhurUpdates #UkweliDaima #UHURUDIGITAL © 2019 https://t.co/rHd9wvkbB2
MWONEKANO WA GAZETI LA UHURU SOKONI LEO | IJUMAA | AGOSTI 30.
Linapatikana mtaani kwako kwa Tsh 1,000 tu kupitia kwa muuza magazeti yeyote nchi nzima.
#UhurUpdates #UkweliDaima #UHURUDIGITAL © 2019 https://t.co/kirD2dzl7c
Muonekano wa gazeti la Uhuru la leo, Agosti 20.
#UhurUpdates #UkweliDaima #UHURUDIGITAL © 2019 https://t.co/fZskn4g0a0
MWONEKANO WA GAZETI LA MZALENDO SOKONI LEO | JUMAPILI | AGOSTI 18.
Linapatikana mtaani kwako kwa Tsh 1,000 tu kupitia kwa muuza magazeti yeyote nchi nzima.
#UhurUpdates #UkweliDaima #UHURUDIGITAL © 2019 https://t.co/z8hodt0yd2
Last Seen Hashtags on Sotwe
pollerita
CGTApple
Seen from United States
mafioso
Seen from Puerto Rico
MOMSON()*********************
Seen from Italy
nolimit() or #momson
Thundr
Seen from Australia
momson((()))*+filter:native_video
Seen from Indonesia
omegle
Seen from United States
네토섭커플
Seen from Korea
speedingbullet
Seen from Peru
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.1M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.1M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
112.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.2M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.4M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.8M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.7M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
74.2M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71.6M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.3M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
64.5M followers

Bill Gates 
@billgates
64.5M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.8M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.8M followers




