#KUMBUKIZI
“Tunataka Nchi yetu ipate kiongozi safi, kiongozi safi hawezi kutoka nje ya CCM, nyinyi wapiga kura mnaweza kutupatia kiongozi safi kwa Kura zenu, basi tupatieni kiongozi safi kwa Kura zenu”
Soma>> https://t.co/O11feanUIi
#uhurudigital#uhuruupdate#CHAGUACCM
#MICHEZO : NYOTA wa muziki wa Bongo Fleva, Omary Mwanga maarufu Marioo, amewataka Watanzania kujitokeza kwa wingi Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, kuipa sapoti timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, itakapovaana na Morocco katika Robo Fainali ya Michuano ya CHAN2024.
#HABARI: KATIBU Mkuu Wizara ya Nishati, Felchesmi Mramba, amesema katika miradi ya kimkakati inayotekelezwa nchini, wizara hiyo imetekeleza miradi saba.
Mramba ameyasema hayo katika uzinduzi wa Mpango wa Uwezeshaji wa Kiuchumi kwa Vijana (YEE)…
#HABARI: CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), Kata ya Sakwe wilayani Bariadi mkoani Simiyu, kimemkabidhi cheti cha pongezi Mbunge wa Jimbo la Bariadi, Mhandisi Kundo Mathew, kutokana na utendaji wake mzuri ndani ya miaka mitano.
Soma>>>https://t.co/OEDqgu5h5u
#HABARI: VIJANA waliohitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa mujibu wa sheria, ambao hivi sasa wapo Chuo Kikuu cha Dodoma(UDOM), wameeleza namna walivyonufaika na mafunzo hayo na kusisitiza kuwa...
Soma>>>https://t.co/ohygAwSsr5
#HABARI: MKUTANO wa 33 wa mwaka wa Wakuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), unatarajiwa kufanyika jijini Arusha kwa siku sita kuanzia Mei 26 hadi 31 mwaka huu..
Soma>>>https://t.co/6hWrp7hzUo
#HABARI : MADINI ya almasi yenye thamani ya zaidi ya Sh. bilioni 1.7 yamekamatwa yakitoroshwa kupitia Uwanja wa ndege wa Mwanza...
Soma>>>https://t.co/C07r3pGTeH
#HABARI : KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema maandalizi ya Mkutano Mkuu unaotarajiwa kufanyika Mei 29-30 ukitanguliwa na Kamati kuu (CC) na Halmashauri kuu(NEC)...
Soma>>>https://t.co/zh93bsBJ1p
#HABARI: MIRADI sita ya maendeleo yenye thamani ya Sh. bilioni 4 na milioni 700, imezinduliwa na kuwekewa mawe ya msingi katika Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara mkoani Mtwara...
Soma>>>https://t.co/VnJFKHGlrl
#HABARI: MKUU wa Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro, Kasilda Mgeni, amewasihi wanafunzi 120 kutoka wilayani humo, wanaoelekea kushiriki mashindano ya UMITASHUMTA ngazi ya mkoa kwa mwaka 2025, kuzingatia nidhamu...
Soma>>>https://t.co/BZ2AhEAwCZ
#HABARI: MKUU wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga, amezindua rasmi huduma ya kusafisha damu (Dialysis), pamoja na huduma ya kipimo cha mfumo wa chakula katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara...
Soma>>>https://t.co/Tcka1Nk50D
#HABARI: MKUU wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga, amezindua rasmi huduma ya kusafisha damu (Dialysis), pamoja na huduma ya kipimo cha mfumo wa chakula katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara...
Soma>>>https://t.co/Tcka1Nk50D
#HABARI: MBUNGE wa Jimbo la Bariadi, Mhandisi Kundo Mathew, ametembelea Kata ya Ikungulyabashashi na kufika katika Kijiji cha Lulayu Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu, ili kuwasilisha Utekelezaji wa Ilani ya CCM 2020/2025...
Soma>>>https://t.co/ZGaBVhldbo
#HABARI: MBUNGE wa Jimbo la Bariadi mkoani Simiyu, Mhandisi Kundo Mathew, ameanza kugawa pampu 100 za maji zenye thamani ya zaidi ya Sh.milioni 300 kwenye vijiji 84 vya jimbo lake...
Soma>>>https://t.co/FsO785oYyB
#HABARI: WAZIRI wa Madini, Anthony
Mavunde, amesema Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, ameridhia wizara hiyo kununua Helkopta ambayo wataifungia vifaa vya kisasa kwa lengo la kufanya utafiti wa kina utakaowaongoza...
Soma>>>https://t.co/CrJtY1hTHW
#HABARI: MBUNGE wa Jimbo la Bariadi, Mhandisi Kundo Mathew, amempongeza Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, kwa kutoa fedha za utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo nchini, hususani katika jimbo lake...
Soma>>>https://t.co/bplgN5xNe0
#HABARI: WACHIMBAJI sita wa madini wamefariki dunia na wengine 11 kujeruhiwa, baada ya kuangukiwa na kifusi cha mchanga wakati wakiendelea na shughuli za uchimbaji katika kitalu namba 8 eneo la Nyaligogo, Kata ya Mwakitolyo mkoani Shinyanga...
Soma>>>https://t.co/dm4GfsRjdJ