Top Tweets for #UTEUZI
π΄#UTEUZI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. @SuluhuSamia amemteua Bw. Kheri Abdul Mahimbali kuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA).

#UTEUZI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Mhe. Dkt. Evaline Wilbard Munisi (Mb.) kuwa Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira na Mahusiano). Dkt. Munisi anachukua nafasi ya Mhe. Rahma Riyadh Kisuo (Mb.) ambaye uteuzi wake umetenguliwa #EastAfricaTV

#UTEUZI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemteua Balozi Ali Jabir Mwadini kuwa Katibu wa Rais, akimrithi Balozi Wazir Salum. #EastAfricaTV

#UTEUZI
Rais wa Crown Media @OfficialAliKiba amemteua @Salym kuiamsha Tanzania.
Aidha, uapisho wa Salim Kikeke na wateule wengine utafanyika Ijumaa ya Januari 16, 2026, Ofisi za Crown Media Mikocheni Dar es Salaam, Saa 2:00 Asubuhi.
#HapaNiNyumbani #MwakaWaMbele

#uteuzi
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Paul Christian Makonda kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, akichukua nafasi ya Prof. Palamagamba John Aidan Kabudi ambaye ameteuliwa kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Ikulu (Kazi Maalum).

UTEUZI: Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Bakari Machumu leo Januari 8, 2026 imesema kuwa Rais Samia amemteua Waziri Rajab Salum kuwa Balozi
Soma https://t.co/9T2zswLpHA
#JamiiForums #Uteuzi #Utawala

#UTEUZI
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzani, Mhe. @SuluhuSamia amemteua Jenerali Mstaafu Venance Salvatory Mabeyo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro kwa kipindi cha pili.

#UTEUZI Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzani, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali leo 16 Julai ikiwemo uteuzi wa Jenerali Mstaafu Venance Salvatory Mabeyo ambaye ametewaliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro kwa kipindi cha pili.
Pamoja na Dkt. Harrison George Mwakyembe ametewaliwa kuwa Baraza la Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kwa kipindi cha pili. #EastAfricaTV

#Uteuzi Rais Samia Suluhu Hassan amemhamisha Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Kenan Kihongosi kwenda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha,akichukua nafasi ya Paul Makonda.
Aidha, Anamringi Macha amehamishwa kutoka Mkoa wa Shinyanga kwenda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu.
#NipasheMwangaWaJamii
#nipashedigital
#miaka30yakupashahabari

#Uteuzi Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Simon Sirro kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma.
Aidha,amemteua Kheri Denice James kuwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa, na Mboni Mohamed Mhita ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga.
Aidha, Beno Malisa ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya akichukua nafasi ya Dk.Juma Homera na Jabiri Omari Makame ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Songwe.
#NipasheMwangaWaJamii
#nipashedigital
#miaka30yakupashahabari

#Uteuzi Rais Samia Suluhu Hassan amewahamisha vituo vya kazi Wakuu wa Wilaya watatu na kuteua wengine 17 katika uteuzi uliofanyika jana usiku.
Waliohamishwa ni Solomon Itunda kutoka Wilaya ya Songwe kwenda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Japhari Mghamba amehamishwa kutoka Wilaya ya Handeni kwenda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Gairo.
Aidha, Amir Mkalipa amehamishwa kutoka Wilaya ya Arumeru kwenda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ilemela.
Walioteuliwa ni Estomin Kyando ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilolo, Ayubu Sebabile ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Muheza
Thecla Mkuchika ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Butiama, Angelina Lubela ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Serengeti
Aidha, Maulid Dotto ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mvomero,huku Rukia Zuberi ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mwanga.
Mwinyi Ahmed Mwinyi ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Jubilete Win Lauwo ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Magu, huku Mikaya Dalmia ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni.
Thomas Myinga ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Sikonge, Gloriana Kimath ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Monduli,huku Upendo Wella ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Tabora.
Denis Masanja ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Fadhil Nkurlu ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Songwe, Benjamin Sitta ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Iringa.
Aidha, Salum Nyamwese ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Handeni, na Frank Mkinda ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kahama.
Na Mwandishi Wetu
#NipasheMwangaWaJamii
#nipashedigital
#miaka30yakupashahabari

#Uteuzi Rais Samia Suluhu Hassan ameteua Makatibu Tawala wa Wilaya 15 na Wakurugenzi Watendaji 12 huku akihamisha wakurugenzi wawili.
Ma-DAS walioteuliwa na wilaya zao kwenye mabano ni Mwanamwaya Kombo (Mkinga), Kassim Kirondomara (Biharamulo),Thobias Abwaro (Babati); Asycritus Egaruk (Meatu).
Nyakaji Mashauri (Kilolo);Mustapha Kimomwe (Rufiji), Milama Masiko (Serengeti);Mpampalika Mpampalika (Mwanga).
Aidha, Richard Mwalingo (Mtwara); Zuberi Zuberi (Magu), Angela Mono (Tanga); Mamndolwa Gembe (Same), Sabina Mwajeka (Momba).
Sosthenes Chakupanyuka (Kaliua); na Adestino Mwilinge (Mbogwe).
MA-DED na Halmashauri zao kwenye mabano ni Raymond Mweli (Mbarali); Adelina Mfikwa (Bukombe);Iddi Ndabona (Bariadi), Hamisi Hamidu Idd (Busega).
Mwarami Seif (Nzega); Newaho Mkisi (Meatu); Zainab Mgomi (Mji wa Nanyamba); Dk.John Pima (Tabora).
Albina Mtumbuka (Bahi); Paulo Faty (Mvomero); Shabani Kabelwa (Kaliua); na Vicent Mbua (Ukerewe).
WALIOHAMISHWA
Justice Kijazi amehamishwa kutoka Halmashauri ya Manispaa ya Iringa kwenda kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya; na
Zaina Mlawa amehamishwa kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Bahi kwenda kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa.
Imeandikwa na Salome Kitomari
NipasheMwangaWaJamii
#nipashedigital
#miaka30yakupashahabari

#Uteuzi Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Mhandisi Machibya Masanja kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC).
Machibya anachukua nafasi ya Masanja Kadogosa ambaye ameliongoza shirika hilo tangu Julai mosi,2016.
Aidha, mwaka 2021 Rais Samia alivyoingia madarakani pamoja na mabadiliko mengi ya wakuu wa taasisi aliyofanya Madogosa aliendelea kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TRC.
Imeandikwa na Salome Kitomari
#NipasheMwangaWaJamii
#nipashedigital
#miaka30yakupashahabari

Rais Samia leo Juni 23, 2025 amemteua Mhandisi Machibya Masanja kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC)
Zaidi bofya https://t.co/iXIM8NiAJA
#JamiiAfrica #Utawala #JamiiForums #Uteuzi

Rais Samia leo Juni 23, 2025 amemuhamisha Kenan Laban Kihongosi kutoka kuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu na kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha akichukua nafasi ya Paul Makonda
Zaidi bofya https://t.co/iXIM8NiAJA
#JamiiAfrica #Utawala #JamiiForums #Uteuzi

UTEUZI: Rais Samia leo Juni 23, 2025 amemteua Mkuu wa zamani wa Jeshi la Polisi Tanzania Balozi Simon Nyankoro Sirro kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma
Zaidi bofya https://t.co/iXIM8NiAJA
#JamiiAfrica #Utawala #JamiiForums #Uteuzi

#HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Mhe, Beno Morris Malisa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya.
#UTEUZI #EastAfricaTV

#HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Mhe. Mboni Mohamed Mhita kuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga.
#UTEUZI #EastAfricaTV

#HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Kheri James kuwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa.
#UTEUZI #EastAfricaTV

#HABARI Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Simon Sirro kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma.
Kabla ya uteuzi huo Sirro alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Madini la Taifa (Stamico).
#HABARI #UTEUZI #EastAfricaTV

Last Seen Hashtags on Sotwe
nolimit
Seen from Argentina
SPiCEζεΉ
Seen from United States
θθ
Seen from Singapore
novinha escola
Seen from Brazil
momson #nolimit #cnc
Seen from France
VideoViral
Seen from Indonesia
california
Seen from United States
brondongcoli
Seen from Singapore
TaraSutaria
Seen from India
viral
Seen from Netherlands
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
110.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
97.7M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
90.9M followers

KATY PERRY 
@katyperry
87.8M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
81.6M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.1M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
70.1M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
69.8M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
62.8M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.9M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
60.9M followers

X 
@x
60.8M followers







