Baada ya Mkapa kuandika chake sasa ni Zamu ya Mzee Rukhsa.Kitabu tulichokisubiri kwa muda mrefu cha maisha ya Mzee Mwinyi kitazinduliwa rasmi 8/5/2021. Kama ilivyokawaida yetu,tutalisha fikra zetu kwa kujadili kwa kina kurasa zote za yale yote aliyoyaandika Mwinyi. Tukae tayari
Mm,ww na yule ndiyo watu pekee wa kusukumana tupige hatua ktk maisha. Unaona biashara ya kijana mwenzio humu ww ni jukumu lako kuifikisha kwa mteja wala huumii popote. Naomba tuwe na moyo wa kupendana pila kuwaza pesa tu. Makampuni makubwa yakitaka upost yataweka mzigo mezani
#BaruaYaWazi kwa wajasiriamali wa mitandaoni (Twitter) acheni kuchagua watu wa kujibu reply kwenye bandiko la biashara yako huwezi kujua nani ni mteja kati ya hao.
Pia jaribuni walau kuwa mnafanya engagement kama vile "likes, na retweets kwenye tweets za wajasiriamali wengine