Leo Mei 19, 2025 Ndugu Philipo Mallac amekabidhiwa fomu ya kugombea ubunge Jimbo la Nsimbo kwa tiketi ya @ACTwazalendo. Fomu hiyo amekabidhiwa na Kaimu Katibu wa Jimbo la Nsimbo, Ndugu Erasto Samweli.
#MuhuniHasusiwi#OperesheniLindaDemokrasia
Leo Mei 12, 2025 Naibu Waziri Kivuli wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Ndugu Juster Denis, amechukua fomu ya kugombea ubunge wa jimbo la Shinyanga Mjini. Amekabidhiwa fomu na Mwenyekiti wa Jimbo, Ndugu Mbarouk Mohammed.
#MuhuniHasusiwi@ACTwazalendo
📍Mkoa wa Geita
Leo Mei 14, 2025 Mwanachama wa @ACTwazalendo, Ndugu Daniel Baliyakula amechukua fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Chato Kusini. Fomu hiyo amekabidhiwa na Katibu wa Jimbo, Ndugu Sokoine Twetwe Kiriha.
#MuhuniHasusiwi#OperesheniLindaDemokrasia
Leo Mei 14, 2025 Makamu Mwenyekiti wa @ACTwazalendo Bara, Ndugu @MchinjitaIR amekutana na viongozi wa @NgomeyaWanawake wa kata 20 za Manispaa ya Lindi.
Ngome ya wanawake jimbo la Lindi wamechukua jukumu la kuzitafuta na kuzihesabu kura kabla ya siku ya kupiga kura.
Kesho tarehe 15 Mei 2025, Katibu Mkuu wa Chama cha @ACTwazalendo, Ndugu @adoshaibuado atakutana na watiania wa Ubunge na Udiwani kutoka majimbo yote ya Mkoa wa Songwe. Kikao kitafanyika katika Jimbo la Vwawa.
#OperesheniLindaDemokrasia#TaifaLaWote#MaslahiYaWote
"Ripoti ya CAG kwa mwaka wa fedha 2023/24, imebainisha hoja za ubadhirifu unaotokana na upotevu fedha, ufisadi na ukiukwaji wa sheria za manunuzi zenye thamani ya shilingi trilioni 2.56"
Waziri Mkuu Kivuli
@MchinjitaIR#TaifaLaWote#MaslahiYaWote@ACTwazalendo@ACTBarazaKivuli

"Kama mataifa ya Ethiopia kupitia Ethiopian Airlines au China kupitia Huawei wameweza kuyaendesha mashirika yao ya umma kwa mafanikio na weledi, Tanzania pia inaweza. Kinachotakiwa ni uongozi makini,na si CCM iliyofilisika kisera na kifikra.”
Waziri Kivuli wa Fedha
@kizamayeye_
Leo Mei 11, 2025 Mwanachama wa @ACTwazalendo,
Ndugu Sanane Selena Shenye amechukua fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Bariadi liliko Mkoa wa Simiyu. Fomu hiyo amekabidhiwa na Katibu wa Jimbo, Ndugu Simoni John.
#TaifaLaWote#MaslahiYaWote#MuhuniHasusiwi
"Mchakato mzima wa uchaguzi kuanzia utungaji wa kanuni, uandikishaji wapigakura, uteuzi wagombea, upigaji kura na utoaji matokeo uliharibiwa na mamlaka ya kusimamia uchaguzi (TAMISEMI) ikisaidiwa na vyombo vya dola." @SemuDorothy Kiongozi wa Chama @ACTwazalendo
WAGOMBEA WA ACT WAZALENDO WANATEKWA.
"Wagombea wa @ACTwazalendo PAULO MATAYO na STAIFODI MWESIGWA ambae ni Mwenyekiti wa Ngome ya wazee Mkoa wa Kagera WAMETEKWA KITONGOJI CHA KIGUGU B Jimbo la Muleba Kusini, Tukio limetokea jana Majira ya saa moja na nusu Jioni wakiwa wamemaliza shughuli za chama."
Msemaji wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
@RahmaMwita
#VijijiVyaWote #MitaaYaWote #MaslahiYaWote