Kufuatia kifo cha aliyekuwa dereva wa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, Jeshi la Polisi Mkoa wa Kigoma limesema linaendelea na uchunguzi wa kisayansi ili kubaini chanzo halisi cha kifo hicho. Akizungumza mkoani Kigoma, Kamanda wa Polisi
Asubuhi ya leo, tarehe 4 Julai 2026, mwili wa marehemu Suez Dani Maradufu aliyekuwa dereva wa Mhe. Heche, umewasili katika Hospitali ya Wilaya ya Tarime (Bomani) kwa ajili ya kuhifadhiwa. Mwili huo umepokelewa kwa vilio na simanzi na ndugu, jamaa, marafiki.
The One and Only Tundu Lissu 🔥🤣
Yaani ye sasa akisema “haliishi mpk liishe” ndo unatakiwa kuelewa! No retreat! No surrender 💪🏽
Leo kimama kitalala na viatu na liroho lake chafu lenye husda!
Rais! Rais! Rais!
Kimama kitaugua kabisa leo maana watanzania Rais wetu ndo huyu Tundu Lissu 👊🏽
Mungu atasimama na kudhihirisha Ukuu wake muda si mrefu!
Tuseme AMEN 🙏🏽 #FreeTunduLissu
Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Tundu Lissu tayari ameingizwa katika chumba cha Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam kwa ajili ya shauri la Marejeo lililofunguliwa na Mkurugenzi wa Mashtaka(DPP) dhidi yake.
Akiingia ndani ya mahakama Lissu amepokelewa kwa sauti za 'shujaa, shujaa' ambazo zimetolewa na wafuasi wa Lissu pamoja na CHADEMA na wadau wengine waliohudhuria keso hiyo.
"Mwili wa marehemu dereva wa Makamu Mwenyekiti wetu Bw. John Heche umefanyiwa uchunguzi kwa kupasuliwa kichwa, mapafu mpaka kwenye tumbo ili kuangalia yale yanayoweza kuonekana kwa macho na katika hatua ya sasa taarifa ya awali ya Madaktari wametuambia kuwa hakuna jeraha lililosimama kwamba lilikuwa nje ya mwili au ndani lililosababisha kifo chake isipokuwa mshipa mkubwa sana unaopeleka damu kichwani mshioa uliganda na ndilo jambo likasababisha mauti yake."
"Mpaka sasa uchunguzi kwa maana ya taarifa rasmi ya nini kimepelekea kifo chake haijajulikana. Sambamba na hilo niwafahamishe kuwa mashaka yetu katika jambo hili yamezidi sana na hapo awali mtakumbuka kwamba kumekuwa na misafara yetu kufuatiliwa na Askari na watu wengine ambao hawana sare, haiweleki ni watu gani tangu tukiwa Makambako na ninyi ni mashahidi wa picha tulizozitoa na hata tulipofika katika hoteli tulizofikia na hata pa kwenda kula tulikuwa tunafuatiliwa na hata marehemu aliwahi kutumbia kuhusu kufuatiliwa."
"Aidha Jeshi la Polisi tu ndio waliopiga picha katika chumba alicholala marehemu Suez Dani Maradufu, aliyekuwa dereva wa Makamu Mwenyekiti wa Chama chetu Mhe. John Heche, wengine walizuiwa kupiga picha, tukakubaliana zisitoke, chakushangaza picha hizo zimesambazwa mitandaoni."- @amanigolugwa, Naibu Katibu Mkuu wa Chadema.
hongereni sana kwa kutoka kwenye kifungo haramu, na tunafurahi sana mmerejea kutuhabarisha. serikali inayofungia vyombo vya habari haiwezi kujiita serikali ya kidemokrasia; ni serikali ya kiimla inayoogopa ukweli, uwazi na uwajibikaji. ni serikali ya vibaka na majambazi:
@SuluhuSamia@mwigulunchemba1 hamtaki kuwasikiliza wapinzani mkidai sio wazalendo; mnawasingizia wanaharakati kila aina ya ubaya kuwajengea chuki; mmeunda vikundi vya machawa, Mwaipopo na baadhi ya viongozi wa dini kuitete serikali mnayoongoza.
Msikilizeni basi huyu MAMA YETU.
Asubuhi ya leo, tarehe 4 Julai 2026, mwili wa marehemu Suez Dani Maradufu umewasili katika Hospitali ya Wilaya ya Tarime (Bomani) kwa ajili ya kuhifadhiwa. Mwili huo umepokelewa kwa vilio na simanzi na ndugu, jamaa, marafiki, pamoja na wanachama na wafuasi wa Chadema waliojitokeza kupokea mwili.
"Watu wananipigia simu, (kutokana na Video tuliyoichapisha hapa RoyalTv), wananiambia wewe jamaa mbona una hatari sana, ile video yako mbona umeongea ukweli sana huogopi? Ujue ukiongea ukweli ni hatari?. Mimi ninavyojua dini zimetufundisha ukweli na zamani tumefundishwa kwamba ongea ukweli, leo kila mtu akiongea ukweli ni tatizo sasa tunajenga maadili kwenye mazingira gani?"
"Ujue hata mambo ya usawa wa kijinsia na ushoga yameanza hivi hivi mtu kaukataa uanaume anataka kuwa mwanamke,anaukataa uanamke anataka uanaume yaani unaukataa ukweli kila sehemu. Mwanasiasa hataki ukweli, mtu wa dini hataki ukweli, msanii hataki ukweli anataka uongo tu." Seleman Msindi maarufu kama Afande Sele.
VIDEO:
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kuwa bado kina mashaka juu ya kifo cha Suezi Dani Maradufu, aliyekuwa dereva wa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Bara, John Heche, kikisisitiza kuwa kifo hicho kimegubikwa na sintofahamu ikiwamo mlolongo wa misafara ya viongozi wao kufuatiliwa kwa siri na watu wasio na sare mpaka mkoani Kigoma ambako ndiko Suez alikutwa na umauti.
Akizungumza leo Ijumaa, Julai 3, 2026, mkoani Kigoma, Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Bara, Amani Golugwa, amesema chama hakitasita kuamini kuwa dereva wao alifariki kwa hali yenye mashaka hadi hapo ripoti ya maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali itakapothibitisha vingine.
Sambamba na malalamiko hayo ya CHADEMA, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma, ACP Philemon Makungu, ametoa taarifa rasmi akithibitisha kukamilika kwa hatua ya kwanza ya uchunguzi wa kisayansi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kigoma (Maweni). Kamanda Makungu ameeleza kuwa zoezi hilo limefanyika kwa uwazi mkubwa mbele ya viongozi wa CHADEMA na ndugu wa marehemu, na kwamba sampuli zimeshachukuliwa rasmi ili kwenda kuthibitisha chanzo halisi cha kifo hicho.
Inawezekana likaonekana kuwa jambo dogo sana lakini, tunaweza kutuma ujumbe mzito kwa dunia kuwa tanganyika hatuko huru. Tunaamini pia Mhe Lissu ni mbeba maono, kwa hiyo alichokiona tunaweza kuungana naye hata kama hauelewi. Kwa kufanya hivyo ccm watashangaa kuona nchi nzima iko na Mhe Lissu na wanaweza kutunga sheria kila mtu lazima anyoe nywele.
Nawakumbusha tu, hata Samsoni nguvu zake zilikuwa kwenye nywele.
#lissusiomhaini #freetundulissu
Sehemu ya pili ya HISTORIA YA RUSHWA YA VITOL NA USHIRIKA WAKE NA AMEIR NAHDI, MMILIKI WA OILCOM-TANZANIA.
Kwa mtazamo wa kijasusi na biashara, kazi ya Namaro inaweza kuwa ni kuwasilisha ofa za Vitol, kurahisisha mawasiliano, au kutoa "ushawishi" kwa maafisa wa TPDC. Kwa kuzingatia historia ya Vitol, "ushawishi" mara nyingi ulimaanisha rushwa.
Mnyororo unakamilika kabisa na kufanana na mifumo ya Brazil na Mexico:
· Vitol (mtoa rushwa) → Wakala wake wa Tanzania (Namaro) → Shirika la Serikali (TPDC).
· Ili kukinga mgongo kwenye siasa na diplomasia, mshirika mkuu wa Vitol (Amer Nahdi) anakuwa na hadhi ya kidiplomasia ya Kazakhstan nchi ambayo Vitol tayari inachunguzwa kuhusiana na rushwa.
Kwa ushahidi huu, unadhani Tanzania tuko salama kiasi gani?
Huyu mzee mwenye Oilcom, ambaye ni mmiliki wa NAMARO, ambaye leo ni Balozi wa heshima wa Kazakhstan ni ushahidi wa kutosha wa kwamba kwenye Mfumo wa utafutaji na usambazaji wa mafuta kuna tatizo kubwa.
Ile sh 544 tunayopigwa kwenye kila lita unazidi kuifanya kashfa yao Rushwa izidi kuota mizizi.
KWA UPANDE WETU, HAWA VITOL, OILCOM, SAMIA NA ABDUL WANAKULA CHUNGU KIMOJA.