@YoungAfricansSC Mwanengo nguvu nyingi akili ya mpira hakuna dakika ya 94 timu iko 1 kwa 1 unapata nafasi kama ile ndani ya sita unabutua kweli sijawahi sononeka zaidi ya hapa ndani ya sita muna uhakika kweli ana hadhi ya yanga huyu jamaa
@CAF_Online@1xBet_Eng On behalf of all Africans we respect what Senegal do we tried of what REFEREES do for morroco since day on let's goooooo Senegal you pay for usπΉπΏπΉπΏπΉπΏπΉπΏπΉπΏπΉπΏ
@MariaSTsehai Ni dhahiri kuwa munatafuta attention na sasa mumeona mahali penye ushawishi mkubwa ni kwenye hivi vilabu viwili vikubwa nchini. Nitamshangaa sana kumuona mtanzania anawaelewa bila ya kutafakari vizurii ni mbinu ya kipumbavu sana munajaribu kuitumia
@YoungAfricansSC Huyu doumbia hana moyo wa yanga hapambaniiii badge ya yanga anacheza mpira for fun na si mchezaji unayemuhitaj kwenye timu yetu yy na ecua wanapaswa wapewe mechi kadhaa la sivyo watupishe
@kodira_254 Ile movie inahitaj akili na utulivu kama ni wala munaangalia wenyew munaziita zenye mkono huwezi elew peaky blinders, breaking bad huwezi elew movie zan namna hii
@muandazi Mm show mpaka mtu aseme bac ss tutaendelea siku ingine unapata wap muda wa kuhesabu dakika. Alaf bao mbili ni chache sana angalau 4 kishkajiii ndio naona nimeiweka
@MariaSTsehai Lunar eclipse na solar eclipse ni ukumbusho kutoka kwa mungu juu ya ukubwa na uwezo wake. Wala hakuna ishara mbaya wa juu yake. Pia ni moja ya matukio ya mara kwa mara duniani kama ilivyo masika na kiangazi ni lazima itokee kwenye mzunguko wa dunia. It is natural phenomena