"Hara hachi bu" huu ni msemo wanaoutumia Wajapan (WAOKINAWA) Kabla au Baada ya Kula; Ukimaanisha "Jaza Tumbo lako kwa Asilimia 80 Tu"
Ni moja ya siri za kuwafanya wawe na UFANISI KATIKA KAZI,KUISHI MUDA MREFU huku wakiwa na AFYA NJEMA.
Sasa Utajuaje Umefikisha % 80 Unapokula?
Okoa Pesa Zako Kila Unapoingia Sheli Kama Mr. Fikile
Ilikuwa februari 28 mwaka 2024 jijini Cape Town, S.A 🇿🇦 nilipokutana na Mr Fikile Mcetywa, mtaalamu wa IT na mfanyabiashara. Nilijadili na kujifunza mambo mengi kutoka kwake, na pia nilipata bahati ya kunihadithia safari yake-