@LulengoH@Mudimabiriani Sahihi watu wengi tungekua mbali sana kibiashara km tungepuuza uongo kuwa 'Mteja ni mfalme'
Product is the king. Mteja anahangaika kupata bidhaa sahihi, sio bidhaa inahangaika kupata mteja sahihi.
Ndoa ni makaratasi legal status. Vingine zaidi ya hapo ni UTOTO & SIFA.
Upuuzi wa kujazana ukumbini km vile inzi kaona kinyesi nikwashamba na wajinga.
UZINZI ni pale mtu ALIYEOA/KUOLEWA anapofanya mapenzi nje ya ndoa. Hii ni DHAMBI, imetajwa katika Amri 10 za Mungu.
UASHERATI ni pale watu ambao hawapo kwenye ndoa wanapofanya mapenzi. Japo imekatazwa kidini lakini sio DHAMBI.
Kwahyo kumbe Kuwa bachelor ni kujipunguzia DHAMBI.
Hii sio zamani sana ni mwaka 2010 tu hapo.
Kitu unachokinunua 10K leo, utakuja kukinunua 100K mwaka 2040+.
Inflation ni kifaa cha kutafuna thamani ya fedha over time.