Madaktari,manesi na wauguzi wote nawaombea Mungu awalinde na kuwapa afya njema na baraka tele.
Nyinyi ni watu mnaofanya kazi ya Mungu vema kabisa. Mnajitoa kupigania uhai wa wengine bila kujali lolote labda iwe ni mipango ya Mungu tu basi.
Nyinyi ni muhimu sana kwetuπππ
Tunakushukuru sana kwa kuchagua Kuhudumiwa nasi Kwa mwaka 2025,
Tunafanya kila tuwezalo kuhakikisha tunatoa huduma zinazofikia matarajio yenu
TUNAWATAKIA KHERI YA MWAKA MPYA 2026
Ninaposoma neno.
Ninapofuatilia mahubiri.
Ninaposoma vitabu vya Kikristo.
Siyo ili niweze kumhubiria mtu au kumkosoa mtu. Japo, kwa neema ya Mungu, hii inaweza kutokea.
Ninafanya hivyo ili kuijenga nafsi yangu. Ili kuiponya roho yangu. Ili mimi nijitenge na uovu.
LISINOPRIL
Next to Amlodipine, Lisinopril is one of the most prescribed blood pressure medications worldwide.
Why do doctors love it so much?
And why does it almost always come as a package deal with Amlodipine?ππ»
SIYO lazima uweke comment mbaya kwenye post yangu ndipo nikublock. Hata kule Jambo TV nikikuta una-support mambo ambayo yanapinga haki na uhuru wa jumla wa watu, nitakublock huko huko. Asante.