Sending the Wonderfully Love out there to our beloved Boy child ALLY KIMARA while our Team @YoungAfricansSC Wining the battle🙏..Let us Pray for Ally Kimara🙏💛💛💚💚
@sharifambarak1@anuskills3
Happy Women’s Day kwa Wanawake wema,hakika nyie ni watu muhimu sana katika maisha yetu.
Tunashukuru kwa upendo,faraja,ushauri,na msaada wa kila aina mnaotupatia tukipata mikwamo yetu.
Tunawapenda, tunawaheshimu, tunawathamini, hatujiwezi kihivyo bila ninyi ni kiburi tuu. ❤️
Ndugu yangu kama unajenga tafadhali nakuomba usisahau kuwa nipo kwa ajili yako ili nikufanyie kazi bora✨
Usisite kunipigia simu pale unapohitaji fundi mzuri wa umeme kwa ajili ya jengo lako, napatikana Mwanza ila popote nafika vizuri🤝
📞0714361234
#MkonoWaJay⚡
I discredited the content kama hatua ya kwanza kwakuwa nilikuwa na hakika kwamba Madenge hawezi kuandika maduhui yale ktk kipindi kigumu tulichokuwa nacho.
Nilimpigia right away nikamuuliza:
Unajua ulichoandika?
Unajua madhara yake?
Who sent you to tweet?
Heche: Huwezi kuua halafu mambo yakaisha tu
Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara wa CHADEMA, huko Katoro, Geita. Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amesisitiza juu ya msimamo wa chama hicho wa kutaka uchunguzi huru wa kimataifa juu ya matukio ya Oktoba 29.
"Tunataka tume huru ya kimataifa ambayo haina upendeleo ije kuchunguza kilichotokea Tanzania, na tuchukulie hatua watu waliofanya haya mambo. Damu ya wenzetu, nataka niwahakikishie: hakuna siku CHADEMA itanyamazia uovu mkubwa uliotokea," alisisitiza Heche.
Na kuongeza: "Nataka niwaambie ndugu zangu, huwezi kuua halafu mambo yakaisha. Kaini alipomuua ndugu yake Habili, Mungu alimuambia mambo matatu: hautakuwa na amani, hata ukilima hutapata mazao, na jambo la tatu la mwisho, popote unapokwenda utawekewa alama."
Kwenye hili sakata la Paratroopher na Dada wa Chadema na tuhuma nzito majibu ya maswali mnayojiuliza ni rahisi sana kuna moja ya interview Buyobe alisema nanukuu "Ujasusi ni biashara ya taarifa kati ya usaliti na uaminifu" akaongezea kwa kusema...👇
President Duma Boko commends Rwanda’s visa exemption policy for Africans and vows to extend the same treatment to the people of Rwanda. The Africa We Want 🤌🏿
President Kagame has arrived in Gaborone, Botswana for a two-day State Visit where he was welcomed by President Duma Boko @duma_boko of the Republic of Botswana.
President @duma_boko today received the President of the of Rwanda, His Excellency @PaulKagame, on the occasion of his State Visit to Botswana. #BwPresidency🇧🇼
@EsirEid NISAIDIENI KAZI WAKUU
Nina experience ya kazi za microfinance(mikopo) miaka 4 mpk level ya branch manager, elimu ni degrii ya Hisabati na Takwimu, ni dereva pia nina leseni hai, hata kibarua cha 10k kwa siku sawa, mambo ni mbaya,niko Kahama town 0619923421 RETWEET IFIKE MBALI 🙏
Watoto mapacha. Madaktari tarajali. Wamepigwa risasi wakafa papo hapo. Walikuwa wanatoka kazini kunusuru uhai wa Watanzania. Dada yao amenusurika kuuwawa kwa katazo la mama yao. “Unataka wakuuwe na wewe nani atanizika?” Wamezikwa mvua inanyesha. Mama hajalia.
Ooh Lord!!😭😭