Pesa ya freelancing inakuanga funny sana
One minute unapeleka manguo na beddings kwa laundry very confidently kama umepanua kifua ya obambla
The next minute unaita mama fua anacheza na maneno
Ghafla unajipata umevaa short na vest unafua na kufanya usafi ukiskiza gospel hahaha