DEAR WANAHARAKATI, WAPENDA NA WAPIGANIA HAKI
Nimeona watu hapa wakionyesha kuchukizwa na Wasanii kutosimama na Jamii kupigania mambo muhimu, na mnafikiria kuanza kususia bidhaa zao (unsubscribe, unfollow, stop streaming, etc). @Roma_Mkatoliki ametoa kauli hamjaielewa na @naythetrueboy ametoa kauli pia, BUT I WILL PUT THINGS IN PERSPECTIVE.
Tukielekea Sahare, Tanga kwenda kumsitiri mzee #AliMohammedKibao tumekutana na wanetu TASHRIFF Express eneo la Mbwewe, basi ambalo alitekwa na kushushwa pale Kibo, Tegeta. Tumezungumza na dereva, ni kweli gari hilo halina camera. Ngumu kupata picha halisi ya kilichotokea ndani.
Sasa Watanzania tunaamka, viongozi wa Tashriff walikua na uwezo wa kuhoji kwa nini Marehemu anachukuliwa na watu wenye bunduki. Abiri akiwa kwenye gari lako maana yake usalama wake uko kwenu. Amechukuliwa na watu wengine mngetoa taarifa. Hatuwezi kuepuka kuwalaumu kwenye hili. 🙏🏾
#EnforcedDisappearances#Tanzania
‼️TUKAE HUMU‼️👇🏾
Kuna ambao wamechukuliwa hivi karibuni kuna waliochukuliwa miaka kadhaa iliyopita - warudishwe WOTE au serikali ituambie wamewaua na miili yao ilitupwa wapi?
Sasa nimefuatilia @UmojaWaMataifa na ninaomba FAMILIA ambayo itakuwa tayari kusaidia faili la mpendwa wao lifunguliwe UN anitafute DM
Hata kama wamepatikana na waliwahi kutekwa pia bado tunaweza kuweka record
Kila tunapokaa kimya, familia nyingine inakuja kupoteza mpendwa wao kutokana na UKATILI huu wa utekaji! Tusikubali kunyamazishwa!
Sasa nyie mahodari endeleeni na uovu wenu muone kama record zenu CHAFU hazitaingia kimataifa
#TutaelewanaTu
Mawasiliano YOTE yatakuwa ya siri!
#ZuiaUtekaji #UtekajiSasaBasi
Tusiache kupaza sauti zetu mpaka vijana ambao hawajulikani walipo wapatikane siku 12 Leo Deus na wenzake hatujui walipo, Sauti ya wengi ni sauti ya haki, Goodmorning X Familia💜
Ndugu zangu wa umu twitter na mitandao mingine na watanzania wote. please naomba tuendelee Kupaza Sauti kuhusu kijana mwenzetu @DEUSDEDITHSOKA Hatujui ana hali gani mpaka sasa alipo, nguvu ya kuidai serikali kutuambia alipo ndugu yetu iki pungua tuna mkosa kijana mwenzetu.
Rais Samia, kijana huyu anaitwa Deus Soka; ni kiongozi wetu wa chama katika wilaya ya Temeke. Tarehe 26 Julai alikuja kunipokea Dar International Airport niliporudi safari ya Ulaya. Sasa, baada ya vitisho vingi, watu wako wamemteka nyara. Hajulikani alipo kwa zaidi ya wiki mbili
Alitekwa na watu waliojitambulisha kuwa ni askari wa jeshi la Polisi siku ya Ijumaa ya tarehe 02 August 2024 majira ya Saa 2 :00 usiku.
Akiwa katika ofisi ya magari ya rafiki yake inayojulikana kama RAPHAEL STAR iliyopo maeneo ya Segerea Stand.
Watu hao waliojitambulisha kama
"Tukifanikiwa kumshinda shetani na CCM Maisha yatakuwa mazuri Sana. Watu wengi wanakufa kwa kukosa huduma nzuri za Kijamii, wakifa 'eti tunaambiwa Bwana alitoa na Bwana ametwaa' HAPANA. Bwana alitoa CCM imetwaa na jina lao lilaaniwe"- Askofu Mwanamapinduzi #WimbilaHaki🇹🇿 #Mbeya🔥
Ewe mtanganyika mpenda haki kesho saa 9:00 asubuh tukutane mahakama kuu kesho ni siku ya maamuzi kuusu case ya wakili @Mwabuk2Boniface mpenda haki kuwa mgombea TLS🔥🔥