@kichefuchefuu Mzee umechemka. Unatumika vibaya. Hukusikia magufuli anamjibu Rwaichi kuhusu Covid 19 siku chache kabla hajaondoka duniani? Rejea waraka wa pasaka wa kipindi cha Magu. Acha kupotosha.
@Abdulla_Alamadi Hii itaendelea mpaka pale viongozi watakapojifunza kuyokutoa order nje ya utaratibu wa katiba na sheria na watendaji kuacha kutekeleza amri zilizo nje ya katiba na sheria.
@MpaleMpoki Hivi najua swala la kupinga matokeo ni swala lililopelekwa mahakamani human right and peoples court na ilitoa maamuzi. Ili kuwaweka wazi hawa kuna namna ya kufungua shauri la kikatiba on ground ya massive fraud kuchallange current government legitimacy? Na iwe publicised?