@EduTalkTz Ili ufanikiwe unahitaji amani na utulivu na hilo linapatikana ukiwa ktk nyumba yako mwenyewe! Na sio manyanyaso ya wenye nyumba. Vile vile hela ya kujengea sio unaikamata yote, ni hela ambayo inaingia kidogo kidogo.
@malisa_gj1@John_Pambalu Walioripoti watakuwa sahihi iwapo amejikojolea kweli. Jukumu la serikali ni kueleza changamoto inayomkabili rais, Au anashida gani hadi apatwe na dhahama kama hilo. Jukumu la kumtoa na kumtwaa mtu tumuachie Mungu.
Ukiona chama cha siasa viongozi wake walioomba kustaafu, wakastaafu halafu wakaombwa tena kurudi kuongoza ujue hicho chama kilishajifia. Chama kikishindwa kuandaa kizazi kipya wakati bado kipo kizazi kinachoendelea jua hicho chama kimeshakufa tayari.
@CloudsMediaLive Tumeamboa tusivae barakoa za kutoka nnje sio salama, pia tusikubali chanjo zao kwasababu hatuwezi kuwa sehemu ya majaribio! Nauliza hizi tiba asili tunazoambiwa na viongozi wetu tuzitumie sio majaribio? Zikituletea madhara tutamlaum nani?