Tunawapongeza na kuwatakia kila la kheir vijana wote Mkoa wa Dodoma na Tanzania waliofanikiwa kufaulu mitihani yao ya kidato cha 4, tunawaasa wasibweteke na matokeo haya kwani huu ni mwanzo wa safari yao ya elimu.
AMAN MULAGIZI
KATIBU HAMASA NA CHIPUKIZI MKOA DODOMA.
Kamati ya siasa Mkoa wa Dodoma chini ya mwenyekiti wake ndg Mkanwa leo imeendelea na ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya @ccm_tanzania 2015-2020 ktk Wilaya ya Chemba.
Kiongozi lazima uwe na miiko na maarifa ktk uongozi na wala si kila msomi anafaa kuwa kiongozi, wapo wasomi wengi tu wa hovyo!
KM Dr Bashiru Ally Kakurwa
#KikaosenetivyuovikuuDosoma
KM CCM Taifa Dr Bashiru Ally Kakurwa azungumza na Seneti vyuo vikuu na kuwaasa kuiishi falsafa ya CCM ktk kuziishi fikra sahihi za @ccm_tanzania kuzieneza na kuzitekeleza kwa vitendo kwakuwa ni jukumu la lazima kwa kila mwana CCM popote alipo popote aendapo ndani na nje ya mipaka