OFFICIAL ACCOUNT UMOJA WA VIJANA MKOA IRINGA.
TAIFA LENYE VIJANA WAZALENDO NDILO LINAWEZA KUPATA MAENDELEO YA HARAKA ZAIDI.
#HAPA_KAZI_TU#MAGUFULI5TENA
#TANZANIA: President-elect, Dr. Hussein Mwinyi has officially been sworn in to become the 8th President of Zanzibar since the revolution in 1964.
Dr. Mwinyi won the Presidential election with 76.27% which was equivalent to 380,402 votes.
#LIVE_UPDATES#SAMORA_IRINGA
"WanaIringa Nileteeni Jesca, WanaIringa Nileteeni Jesca,
WanaIringa Nileteeni Jesca,
Naomba WanaIringa Tubadilike na Roho wa Bwana Awaongoze Mniletee Jesca.
Nawaomba WanaIringa mniletee Jesca, Haya wote kwa Pamoja Tusema Jesca Mara tatu" @MagufuliJP
#LIVE_UPDATES#SAMORA_IRINGA
"WanaIringa Nileteeni #JESCA huyu Mama ni Mpambanaji, Amecheleweshwa alitakiwa awe mbunge Miaka mingi, amekuwa Mwenyekiti wa Mkoa, Na baadaye tukagundua kuna mambo alionewa huko nyuma, Tubadilike wanaIringa Nileteeni Jesca Mtaona mazuri @MagufuliJP
#LIVEUPDATES
Katika sekta ya Madini tumefanya udhibiti na kuimarisha uchimbaji wa madini ili yanufaishe taifa, na tayari sheria kadhaa zimetungwa na bunge kuhakikisha hatuibiwi ovyo lakini kubwa zaidi ni kuwalinda wachimbaji wadogo ili kuhakikisha tunatengeneza matajiri wazawa.
#LIVEUPDATES
Katika sekta ya Mifugo tutaendelea kupima Maeneo ya wafugaji kutoka hekta 2,788,901 hadi kufikia hekta 6,000,000 kabla ya 2025, Kufanya ufugaji wa kisasa kwa kuanzisha mashamba darasa kila kata Pia kutoa chanjo za mifugo na mpaka sasa Chanjo zaidi ya 13,000 zipo.