Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano, Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel:
Ikulu Tanzania na Tovuti: https://t.co/wmldPXYfck
#TanzaniaYetuSote#NchiYetuKwanza
#MaendeleoEndelevu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi ya Kitabu cha picha za matoleo ya noti kuanzia mwaka 1966-2026, pamoja na Sarafu ya kumbukumbu ya miaka 60 ya Benki Kuu ya Tanzania kutoka kwa Gavana wa Benki hiyo Bw. Emmanuel Tutuba katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Juni, 2026.
Mavazi ya wachezaji wa DR Congo walipowasili yalikuwa ya kuvutia sana na yalionyesha hadhi, utamaduni na kujiamini kwa kiwango cha juu.
Kwa namna walivyovalia, walionekana kama wameifanya filamu ya Coming to America kuwa halisi. 👑🇨🇩✨
🚨 Pope Leo XIV has sent a WARNING to migrants, telling them how to behave when they arrive into new countries:
'Learn its language, to respect its laws, to get to know its customs, to participate in communal life and to offer your gifts with gratitude'
The Eucharistic Miracle of Legnica, Poland (2013)
On Christmas Day 2013, at St. Hyacinth’s Shrine in Legnica, a consecrated Host fell to the floor during Communion. It was placed in holy water to dissolve per Church custom.
After about two weeks, the Host had not fully dissolved. A red spot appeared on its surface, later identified as human heart muscle tissue showing signs of agony. DNA tests confirmed it was human.
In 2016, Bishop Zbigniew Kiernikowski officially recognized it as a Eucharistic miracle with “the hallmarks” of a supernatural event. The relic is now venerated in a golden monstrance at the shrine, drawing pilgrims worldwide.
It is seen as a sign affirming the Real Presence of Christ in the Eucharist.
Monaco ni nchi ya pili kwa udogo duniani. Ina wakazi takribani 38,000 tu na ukubwa wake ni mara 2 ya eneo la Kariakoo. Hapo wanaishi matajiri wakubwa tena inatawaliwa na familia moja kwa zaidi ya miaka 700 sasa. Haina jeshi bali inalindwa na Ufaransa. Maisha ya hapa ni ya starehe
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiwasili na kukagua Mabanda ya Maonesho katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete Mkoani Dodoma ikiwa ni Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani, leo tarehe 05 Juni 2026.
Once you realize that anything can happen; sickness, death, lose your job... Literally, anything in the blink of an eye, you become very humble. Tables turn and that's how crazy life can get.
Always stay humble, and be grateful.
Pope Leo XIV appoints María Montserrat Alvarado, President of EWTN News, as Prefect of the Dicastery for Communication: the first lay woman to lead a Vatican dicastery. READ MORE 👉https://t.co/F4XfVRgLk0
Every Catholic who goes to Mass knows exactly what this priest is saying.
The beautiful thing about the Catholic Church is that if I find myself in Japan and I go to Mass there, I won't feel lost at any point in Mass.
I don't even understand one word in Japanese, but I know exactly what the priest is saying and what is going on at Mass.
This is the beauty of the Catholic Church.
She is One and True.
The Trinity teaches us this:
Difference is not division.
Unity is not uniformity.
In the Church, in families, in communities - true love embraces diversity and builds unity, just like God.
🚨 Pope Leo XIV has invited Catholics AROUND THE WORLD to pray the Rosary alongside him as he prays for peace from the Vatican Gardens on May 30th at 7pm