Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) unakupongeza Ndugu Zainab Khamis Shomari kwa kuchaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa UWT Taifa (2022-2027) katika Mkutano Mkuu wa 10 wa UWT uliofanyika Jijini Dodoma tarehe 28 November 2022
#UWTImara#JeshiLaMama#KaziIendelee
Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) unakupongeza Ndugu Mary Pius Chatanda kwa kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa UWT Taifa (2022-2027) katika Mkutano Mkuu wa 10 wa UWT uliofanyika Jijini Dodoma tarehe 28 November 2022 #UWTImara#JeshiLaMama#kaziiendelee