Viongozi wa Kitaifa wa UWT wakiongozwa na Mwenyekiti wa UWT Taifa GAUDENTIA KABAKA (MCC), Katibu Mkuu wa UWT Taifa QUEEN MLOZI na Viongozi wengine wa UWT wakiwasili kwenye ukumbi wa Mkapa jijini Mbeya tayari kwa ajili ya kuanza kikao Cha Kamati ya Utekelezaji ya UWT Taifa
#UWTUpdates Mbunge wa Jimbo la Segerea, Mh. @BonnahKaluwa amewapokea na kuwakabidhi kadi wanachama zaidi ya 300 wa U.W.T kata ya Kimanga.
Nyumbani kumenoga! Yajayo yanafurahisha!.
#UWTTaifaKubwa
#UWTUpdates Jumatano ya Leo tarehe 28/11/2018, Mh. Mbunge wa Jimbo la Segerea, Mh. bonnahkaluwa amewapokea na kuwakabidhi kadi wanachama zaidi ya 300 wa U.W.T kata ya Kimanga.
Nyumbani⦠https://t.co/oOlpwIZCyg