Mkoa wa mbeya ndio mkoa unaoongoza kwa kuwa na crater lakes nyingi Tanzania, kuna jumla ya Crater lake 11 tutashea moja baada ya nyingine. Hii ni
Kingili crater lake
@mhdhamad@TFSAgency@tanroadshq Kutoka Maktaba hii picha nilipiva Nov 2015, kibao halisi cha mwinuko wa barabara ni hiki kinaonesha Mwinuko w mita 2457, hiki cha 2971 ni awali kabla ya Rami, vijana wa chuma chakavu wamepita na kipya
Mkurugenzi Mazplusfly Zakaria Mgallah, pamoja na Mkurugenzi wa Photobank studio Exavery Mwakagali
Lengo la kampeni hii ni kuwahamasisha wanafunzi wa vyuo vya Mkoa wa Mbeya kuweza kutembelea Hifadhi ya Mpanga Kipengere iliyopo kati ya mkoa wa Mbeya na Njombe.
Chikanda safaris kwa kushirikiana na Hifadhi ya Mpanga kipengere leo siku ya jumatano ya tarehe 06/12/2023 tumezindua kampeni ijulikanayo kama Mpanga kipengere uni retreat katika chuo cha utumishi wa Umma.