Mwanasheria wa P-Diddy ameendelea kukana mashtaka yanayo mkabili msanii huyo,na kusema kuwa watu hao wanalengo la kumchafua P Diddy,Je Diddy atakutwa na hatia juu ya mashtaka hayo??
Mwisho.
Mwamba huyu hapa
Sean John Combs ndio jina halisi alilipewa na wazazi wake ,msanii maarufu ajulikane kama p-diddy , ambapo hapo awali alitumia jina la puff daddy , p-diddy amezaliwa 4 Novemba 1969 huko New York Marekani ,
Hii ni baada ya Chombo Kikuu cha Uchunguzi cha Idara ya Usalama wa Taifa ya Marekani(Homeland security investigation) kufanya upekuzi kwenye nyumba ya Diddy iliyopo los Angeles kama sehemu ya uchunguzi wa serikali na kuwekwa kizuizini watoto wawili wa P-Diddy Justin na King Combs