JAMANI TUWE MAKINI NA VYAKULA VYA BARABARANI HUKO.😢🙌
Jana kuna Jirani yangu hapa katoka kazini, Kufika mitaa ya Ferry kakuta Pweza, Basi akala pweza wa buku na kachori za 500...akaomba na supu ya Pweza akashushia......
Baadae akaenda Nyumbani kufika kwake....
Wewe si bora kuliko CHOCHOTE.
Kukosa makazi, kukosa kazi, ugonjwa na hata kifo maisha yanaweza kukufunza adabu kwa NJIA usiyozoweza hata kuwaza.
Hakuna miongoni mwetu aliye na kinga. Hata matendo mema hayawezi KUKULINDA.
Muda wote mambo yanaweza kubadilika. Kuwa na Shukrani
Good morning 🌞
INFLATABLE AIR MATRESS
Size na bei zilizopo
Futi 2x6-100,000
Futi 3x6-120,000
Futi 4x6-130,000
Futi 5x6-110000
Futi 6x6-150,000
Inch 10 ujazo
Pump ya Umeme ni bure
Nzuri mno indoor&outdoor, juu ya maji & starehe zingine
@MiriamMkanaka@Sativa255
Pumzika kwa Amani @slay__storeetz
Alipigwa Risasi ya MBAVU, damu zilimwagika nyingi sana, amefia njiani kuelekea hospitali baada ya kusaidiwa na wasamalia wema.
Binti kama huyu ana hatari gani kwenye serikali hii? MUNGU tunaamini unaona haya maumivu tunayopitia kama TAIFA, onyesha ukuu wako BABA. 💔😭
Nawalilia waliopoteza ndugu na jamaa. Nawatakia nguvu na ujasiri wa kuendelea na maisha. Kama kuna kitu tumejifunza ni kuwa, mabadiliko ni gharama. Walale pema waliotutangulia. May their courage never go unnoticed.
Forever in our hearts 🇹🇿 🇹🇿
Mzee alipata mshituko
Akapelekwa hospitali ya Rufaa mbeya. Huko hakupata msaada wa matibabu zaidi ya drip za maji.
Natumiwa ujumbe na bi mkubwa mzee ameondoka😰
Kwa wote wanaotamani kushiriki kumuaga Clara, ibada ya kuuaga itafanyika kesho saa 6 mchana katika Hospitali ya Bochi, Mbezi kwa Msuguri.
Baada ya hapo, mwili utasafirishwa kwenda Mbeya kwa mazishi.
R.I.P @slay__storeetz 💔🕊️🕯️.
Rest in peace to all the brothers and sisters who lost their lives, actually they didn’t lose their lives their lives were taken. Their sacrifice and blood will not go unanswered and will not be in vain, eventually their courage will forever demand justice 🙏🏾