Familia ya Mungu nchini Tanzania pamoja na watu wenye mapenzi mema ndani na Nje ya Bara la Afrika tunaendelea kusali, kuomboleza na kumlilia Dkt.John Magufuli, Rais wa awamu ya tano, aliyesadaka maisha yake kwa ajili ya ustawi, maendeleo na mafao ya wengi.Pumzika Kwa Amani. 🙏