Mnisamehe Machief(MDs)🙏🏽. Najua hakuna free consultation. Ila once a month sio mbaya.
Let's have a Q&A kuhusu magonjwa ya Figo na Moyo. Kama una changamoto yoyote au swali kuhusu hayo. Tuongee niweze kukupa ushauri wa kitabibu bure.
Nipo Live leo kuanzia saa 11 hadi saa 2 usiku
Kikao cha jana cha wanaume nilitarajia kingegusa mambo ya msingi zaidi kama:
– Mental health na changamoto zake
– Masuala ya fedha na uwajibikaji
– Wajibu wa wanaume katika malezi ya watoto
– Postpartum depression (ambayo pia inaathiri wanaume)
Anyway najua nini mimi mporiporii.
Tuwekane sawa Tumbo anaposema alinipa nauli msije mkajua niliwahi enda kumuomba dm au alinipa kutoka kwa mtu hapana ni zile 13 Miliions ambazo hata nyie mlichangia mi na wakina miriam tulikuwa tunatumia nauli kwenye matibabu ya Sativa Hos na ni Agha Khan sio O bay.
AKATIWEEE
Meta who also owns WhatsApp, banned my number 424-537-3057 from WhatsApp because this is the number Tanzanians were using to send me the photos and videos of the October 29 killings committed by Samia Suluhu which I then posted on this X page.
It’s clear meta has decided to de platform anyone opposing the illegitimate and brutal Tanzania government. Just sad.
Hey guys, daah nimerudi jana usiku kama saa 9 hivi kutoka kwenye "Mihangaiko".
Nimekuta tags, texts na Dms nyingi sana kuhusu uwepo na usalama wangu.
Wengine walimcheki hadi na bi mkubwa kujua what's going on.
Niseme tu, NYINYI ni zaidi ya familia. I appreciate the love aisee.