PRESS YA ASKOFU GWAJIMA AMBAYO TCRA HAWATAKI KUIONA KWENYE MEDIA ZA TANZANIA NIMEKUWEKEA HAPA.
PRESS NZIMA IPO HAPA, WAPASUKE VIZURI.
REPOST KILA MTU AISIKILIZE.
WANAVYOTISHIA VYOMBO VYA HABARI NDIO KAMA WANACHOCHEA ISAMBAE VIZURI.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
NIPSEY HUSSLE 🕊️
Alizaliwa 15/8/1985 LA,California na kufariki 13/3/2019 LA, baada ya kupigwa risasi ,ambapo wengi walidai kifo chake kilikuwa affiliated na gangs activities lakini kuna wengine wanaenda mbali na kusema aliuawa na serikali ya USA.
Kwanini serikali?
Thread🧵🧵